Recent content by weilah

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mbona ACT-Wazalendo hawavamiwi na polisi katika kikao chao kinachoendelea hivi sasa?

    Act hawahamasishi uvunjifu wa amani,,vikao vinavyopigwa marufuku ni vile vinavyoashiria uvunjifu wa amani,,
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

    Si baba ni baba tu right mgejua watoto wawatu wanavyoteseka huko mtaani,msingeongea hvyo..ni wanawake wengi sana wanatelekezwa na waume wao,hyo itakuwa fundisho kwa wanaume wengine?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya TAHLISO kuhusu Fedha za Mafunzo kwa vitendo (Field)

    Hii elimu ya sasa,wanajua ku ongeza madaraja tu,facilities hakuna,,wapinzani hamuyaoni haya yapo yakuyaongelea sio kama haya(ukuta)
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nakupa PRADO nipe 5milion na gari moja (ist, raum, wish au gx110)

    mimi nina gx 100
  5. W

    JamiiForums Tanzania Fyekeo la mishahara ya wafanyakazi laanza na madaktari Hospitali za Rufaa, wakatwa 30% ya mishahara

    Du kupunguza mishahara inaanza jully den kuongeza mishahara wamesitisha???
  6. W

    JamiiForums Tanzania Diamond hana washauri?

    Me nahsi hilo ni fundisho kwa wanaume wengine mnao wapa mimba watoto wa kike na kuwatelekeza den uje na maandiko ya dini baadae,,,,,,
  7. W

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

    Nenda nazo shamba tu,,ndio mpango now,,
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Hili bunge kwa ujumla naona kama wanatuchezea tu wananchi,wameshindwaje kukaa na kuyamaliza wakati wanakutana baa na kuongea vizuri haswa,,so shame bunge la tz
  9. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwachangie wabunge wa UKAWA walioko Bungeni na wanaojiandaa kuzunguka nchi nzima

    Kama wanajitolea wauze kwanza sehemu ya mali zao..den walipofikia tutawasaidia
Back
Top Bottom