Recent content by wehoodie

  1. wehoodie

    Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Biolojia ipo sawa, hamna haja ya kupoteza muda na waganga. Wekeni nguvu kwenye afya ya uzazi na ushauri wa madaktari kwenye hilo huku mkipata "therapy" ya wanasaikolojia kuwarudisha kuwa sawa kutoka kwenye hii "panick" na msongo mlionao ambao kwa mwanamke utakuwa ni maradufu. Nendeni hata...
  2. wehoodie

    Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

    The big question is, je kuna other intelligent being in the universe? If the universe is infinite why only human are intilligent and only on earth what about other planets and stars?? Are there super intelligent being that sees human the way we see chicken??
  3. wehoodie

    Tanzania Motorbike Road Trip - Tanga | Safari ya Tanga

    Good idea ila tafuta adventure bike kuna mchina hata tekken 250 ipo vizuri na bei sio mbaya naona kenya wanauza 6m sijajua kama bongo zipo. Nataka nianze hii kitu ila nawaza bike kwanza nafikiria ya around 400-500 cc sababu sio mzoefu.
  4. wehoodie

    Ushauri kuhusu used Sports Bike

    Hivi SA hizi adenture bike za mchina kama Voge DS525X zinaendaje bei?
  5. wehoodie

    Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

    Kiukweli Janabi ametufaa sana Muhimbili kuliko huko kwenye nafasi za uongozi WHO ambapo hakuna unachoweza kufanya kuna miongozo, kanuni na taratibu, yaani kiongozi yeyote anaweza kuongoza. Mguso na faida chanya kwa jamii ya tanzania ni kubwa zaidi.ikiwa Janabi ataendelea na nafasi yake hapa...
  6. wehoodie

    Tanzania uzalendo ni sifuri

    Tanzania ni nchi isiyokuwa na ideology kwa sababu ina mchangyiko mkubwa sana wa watu, Bantu, Cushtic, Nilotic, Arabs, hindis, na mchanganyiko wa hao. Hakuna ethnicity kubwa tanzania au kabila kwahiyo watu wanakosa kitu cha kujitambulisha nacho hivyo uzalendo au ule utambulisho umepotea. Pia...
  7. wehoodie

    Mzungu kakataa Mimba

    Nchi za wazungu wanawake na watoto wanahaki sana kuzidi wanaume, atafute mwanasheria wa hiyo nchi, kisha aende kule akafungue shauri. Watafanya dna ikionekana mtoto ni wake, atapewa haki zake stahiki na mahakama ikiwemo matumzo ya mimba na mtoto.
  8. wehoodie

    Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    Pole sana, naona jinsi gani trauma za utotoni zinavyoanza kukusumbua. Nashauri utafute mwanasaikolojia ufanye therapy upate tiba ya kisaikolojia la sivyo itaendelea kukusumbua sana hasa afya yako ya akili. Kikubwa ni kwamba jinsi mwingine anavyokupenda au kukuchukia sio tatizo lako ni lake...
  9. wehoodie

    Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Ina maana gani hii?
  10. wehoodie

    Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Acha fiksi haya mashairi ya mangwair mkuu😃😃
  11. wehoodie

    Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Kweli hii au umesema ambayo watu wanapswa kufanya? Kama unafanya uko vizuri hongera sana.
  12. wehoodie

    Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Hii kule 254 wanaita Aluta, jitahidi upunguze kwa ajili ya ubora wa uchumi na afya pia.
  13. wehoodie

    Weekend unafanya nini? Ratiba yako ikoje?

    Hongera mkuu, kijijini kwneu watu hawana namna ya kujua yanayoendelea kupitia media na mitandao?
Back
Top Bottom