Ushauri kuhusu used Sports Bike

Ushauri kuhusu used Sports Bike

Zanzibar kuna cheap bike. Ila kuna issue nikuambie, ebu fikiria kati ya Sport na Naked. Nachopenda Naked bike ukiangusha haivunjiki fenders.

Sports bike ukiangusha Fenders ni plastic zikipasuka challenge. Unakuta haiuzwi moja inabidi ununue full. Gharama kiasi.
Kaka nakuomba Inbox nina swali
 
Japan bike kwenye hizo site hawaweki sana, Dubai kuna site za pikipiki au South Africa Zimejaa bike aina tofauti.

Ukihitaji za South Africa nicheki.
Hivi SA hizi adenture bike za mchina kama Voge DS525X zinaendaje bei?
1000083036.jpg
 
Back
Top Bottom