Habari ndg zangu,
Nimeleta kwenu uzi huu mnisaidie jinsi/mbinu ya kupata mtoto wa kike kwa kutumia karenda.
Mwezi wa 4 niliona siku zangu za hedhi tarehe 15,
Mwezi Wa 5 niliona Siku zangu za hedhi
Tarehe 21,(ktk mwez huo Wa 5, nilikutana na mwenza wangu Siku ya 10,11,12,13,na 15, tangu siku ya...