Recent content by Weather

  1. W

    JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Kaka huo uzi unaitwaje? Km unaweza kuweka link niupitie ndugu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

    Tunazungumzia achievement ya miaka 5 ya magufuli. Ulikimbia umande wewe!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Personal Floating Device (PFD)

    Nashukuru kwa kulifahamu hilo
  4. W

    JamiiForums Tanzania Personal Floating Device (PFD)

    Bila shaka hizi hazipo sana kwa matumizi ya raia wa kawaida. Hata kwenye masoko sijaziona kabisa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Personal Floating Device (PFD)

    Kwa ruhusa yako, naomba nitoke kidogo nje ya mada. 1.Vipi kuhusu gharama za kupark (mahali wanapo park boat) unapo miliki boti yako binafsi? 2.Naomba utueleze kuhusu mafunzo ya uendeshaji boat ndogo binafsi/yatch. Yanachukua muda gani, vigezo, ada n.k Bila shaka watu wengi wangependa kujua...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Personal Floating Device (PFD)

    Vipi likisha jaa hewa na baada ya mtumizi linaweza kurudi kama mwanzo au ni matumizi ya mara moja tu?
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa simbembelezi mwanamke!

    Na watu wa namna hii wana pataga mademu sana. sinajinasasa, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I'm looking for matured Man to be my husband

    Elimu ya kiasi ndio ipi?
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenza katika maisha ya ndoa

    Tuombe Mungu inshallah
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenza katika maisha ya ndoa

    Kama ilivyo kuwa kwa binadamu yoyote, wengine si wife material
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenza katika maisha ya ndoa

    Una umri gani dada
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenza katika maisha ya ndoa

    Habari wana Jamii Forum. Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia, ime rahisisha na kupanua zaidi namna ya kutafuta mchumba tofauti kidogo na hapo...
Back
Top Bottom