Recent content by we go

  1. we go

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

    Ila unaonekana umejawa huruma sjui km utawezana nae, aisee shotii ya 250k ni kubwa Kazaaa kijana usimuangalie usoni.
  2. we go

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

    tangu 2016 hamjawahi kuchat? ni kuongea tu..au sjaelewa
  3. we go

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumdai rafiki yako hela

    Pole sana aise, Ila usimchekee hyu mtu maana ukimuacha ataendeleza mazoea. Fanya maamuzi magumu km ni kukodi polisi au vp...kwa kufanya hivo atakuheshimu na hatorudia kukuletea dharau & mazoea ya kijinga
  4. we go

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Vipi kwa kileri? na kwa uncle ulisharudi kuwacheki
  5. we go

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Aisee tunashukuru kwa stori nzurii hakika umetupa funzo na burudani kwa wakati mmoja[emoji120] Ila umepitia mengi aise na ujasiri unao...mie nisingeweza kurudi kuishi huko mpk miaka ipite[emoji23]
Back
Top Bottom