Recent content by wazunguwawili

 1. W

  Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

  Hajaongea ushabiki kama ambavyo ulitaka iwe. Jamaa amechambua kwa kuweka angalizo. Nadhani umeona kilichowakuta
 2. W

  FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

  Simba ya kupigwa ile chuma ya kwanza tu..ilibidi waswitch game plan. Ilitosha kuwa alert kwao. Nadhani waliwachukulia poa wa machifu.
 3. W

  FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

  Hii tabia ya kutokucheza game,kisa mnasubiria mechi za kimataifa haya ndiyo matunda yake. Lazima ukose utimamu wa mchezo. Tungepiga game kadhaa hapa ingesaidia sana.
 4. W

  FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

  Leo naona kapombe hayupo mchezon kabisai
 5. W

  FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

  Kila kheri kwa mnyama..simba apate ushindi huko bondeni
 6. W

  News Alert: Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

  Hahahaha nasikia walishamfukua na kwenda kumzika upya huko kwao. Ila ishu ya usalama nadhani itakuwa imemuondoa. Arudi mzena tu.
 7. W

  Usiku wa manane, dua humfikia Mungu haraka. Nawatakia Simba ushindi

  Hata uto hawawezi. Simba wapo J'burg......Yanga Ruangwa.
 8. W

  Ushauri: Uwanja wa Gwambina Complex ufungiwe,Pitch ni mbovu

  Duh.. Hahahahaha..
 9. W

  Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

  Kwan South hawajaoata chanjo?
 10. W

  Usiku wa manane, dua humfikia Mungu haraka. Nawatakia Simba ushindi

  Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
 11. W

  Fainali ipi ya 'UEFA Champions League' ilikuvutia kwa miaka 10 iliyopita?

  Hapa Fergie aliamua kulinda heshima yake.
 12. W

  Shaffi Dauda umeshazeeka, punguza kufitinisha watu mzee

  Ni sahihi kabisa alichoandika Dauda. Ila pia kwa sasa aina ya waandishi na wachambuzi wa soka tulionao, Haji Manara anatosha kabisa katika nafasi yake. Muda huo anaosema Shafii,hautakuwa kwa Simba tu, hata wao wenyewe. Bila shaka yeyote ile maisha yataenda.
Top Bottom