Prisons FC yapewa ushindi wa mezani baada ya Ruvu Shooting kushindwa kuleta Ambulance Uwanjani

Ambulance ilikuwepo, lakini dakika chache kabla mchezo kuanza iliondoka kwenda kumbeba mgonjwa na kumpeleka Hospitali ya Lugalo ambapo ilirudi tena uwanjani saa 10: 34".

tufanye hizo dakika chache kabla Mchezo ni dk 10! Na Ambulance ilirudi tena Uwanjani (Mabatini, Kibaha) saa 10.34! Wataalam wa MWENDOKASI, wazoefu wa Morogoro Rd, Je dk 44 zilitumikaje kukimbiza Ambulance kutoka RUVU MABATINI mpk LUGALO na kurudi RUVU MABATINI?

Zingatia, bado haijawekwa wazi Mgonjwa alifatwa wapi ili tujue na muda uliotumika kumfata mgonjwa km ni TUMBI, WIPES ama MKOANI?

Mm chombo cha moto nlichowahi kumiliki ni BIRIKA LA KAHAWA tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alivyokuwa akipakatwa Yanga na Tff ya Malinzi, ngoma droo..!
Ukitaka kujua Yanga hajawai kubebwa angalia mechi zake za kimataifa kipindi cha Malinzi, hakuwai kubugizwa goli kumi kwa mechi mbili. Simba inabebwa alafu kwenye mashindano ya vilabu inapigwa tanotano. Kwa sasa namuona MO akienda kufilisika ndani ya miaka mitatu ijayo kwa kuendelea kuhonga au anakwenda kuachana na kujihusisha na mpira wa miguu mojakwa moja.

Haya kimataifa mlifika wapi, na Simba SC walifika wapi msimu huo ili wadau wapime?
 
Alichosema Masau Bwire akihojiwa na radio moja nchini;

"Ambulance ilikuwepo, lakini dakika chache kabla mchezo kuanza iliondoka kwenda kumbeba mgonjwa na kumpeleka Hospitali ya Lugalo ambapo ilirudi tena uwanjani saa 10: 34".

Ikiwa ni dakika 4 baada kusubiriwa 30 kwa mujibu wa kanuni, ambapo mwamuzi alivyunja mchezo.
Duh. Hapa walizingua hizo si dk za nyongeza kbs
 
Sheria ni msumeno! walipewa prison kwa kosa hilohilo limetokea kwa mbeya kwanza acha nao wapewe.. isitoshe hiyo ni sheria ambayo kila timu imeridhia kuitumia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom