Recent content by Wazolee

  1. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Kinachotakiwa warekebishe mifumo Yao sio kama Kila mtu anao huo muda wa kuenda huko feri
  2. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  3. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Kama bado yupo Hadi Sasa itakuwa anatumia ndumba sio Bure Timu imekatika kati Baada ya kuumia Abuya alafu anamtoa na Mudathiri kumalizia kabisa Hamna kitu mule box tu lile
  4. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Qurani 4:157 Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala...
  5. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

    Lisu ndio anatakiwa awaombe msamaha watanzania maana Yale maelekezo yake ya kuwa uchaguzi hautafanyika yamesababisha vifo vya watu wengi sana
  6. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Kwa Tanzania mkoa wenye maendeleo kuliko yote ni mkoa wa Dar na Dar ni mkoa wa waislam Dogo acha unafiki
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Unaongelea kuwa na cheti kama Ganda ulilotengeneza stationary au unaongelea kuwa na prophetional? Elimu yako tafadhali
  8. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

    Kwani ukiwa na cheti Cha Electronics au medicine hauwezi kujiajili?
  9. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Mbona haya yote yalikuwepo tokea kipindi Cha Kikwete na Magu na yeye alikuwepo?
  10. Wazolee

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatinga EU kupigania Demokrasia iliyotekwa Tanzania, Wazungu waahidi kufanya jambo

    Kama hao Wazungu wanaijua demklasia wanguja huku African kupora Mali zetu?
  11. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania Ni Wahaini, Wamepindua Mamlaka ya Wananchi Kuwapata Viongozi Wanaowataka. Katiba Mpya Itafute Ufumbuzi

    Wahaini ni wale waliotaka kuzuia uchaguzi usifanyike
  12. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Uwelewa wa Wayahudu na wakristo kuhusu mtume Muhammad na kitabu Cha Quran

    A) Wayahudu Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende Kwa wayahudu kupata ushauri kuwa wafanye nini Ili kujua kuwa Muhammad ni mtume kweli au ni muongo...
  13. Wazolee

    JamiiForums Tanzania CCM ndo wafadhili wakuu wa Miaka 30 ya Bongo Fleva, katika hili wamefanikiwa kuwanasa Watanganyika wajinga, Wamesaha Mauaji ya Oktoba 29 ya ndugu zao

    Sasa kama wasingeuliwa si Hadi Leo hii wangekuwa wanaendelea kuchoma Mali za wananchi wenzao na vituo vya mwendokasi na mabasi
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Kama umeshagundua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka ni Bora uwe muislam kuliko kuzidi kujipoteza
Back
Top Bottom