Recent content by WAZIWAZI

  1. WAZIWAZI

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    sikuchanja sitochanja na uzuri serikali haikulazimisha mtu kuchanja, hakuna kulaumu
  2. WAZIWAZI

    Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    wewe hizo gari za police uliziona zikizunguka zunguka ndugu?
  3. WAZIWAZI

    Msigwa: Filamu ya Royal Tour imegharimu tsh 7 billion na inatazamwa duniani Kote

    Ila we lijamaa ni mnafiki sana, 7b kweli!
  4. WAZIWAZI

    PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

    Sina uhakika kama hizi tuhuma ni za ukweli na kama ni kweli kuna ulazima sasa kila mtu kwa imani yake kuliombea taifa letu na si kuleta ushabiki na mizaha.
  5. WAZIWAZI

    Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

    Du kweli tanzania kwa sasa tuna uhakika wa umeme wa kutosha.
  6. WAZIWAZI

    PreGE2025 Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Mimi ntagombea nafasi ya Comrade Msigwa Midfielder
  7. WAZIWAZI

    Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    Wewe ulitakiwa kumsadia Mama yetu kwenye facts, sio kujitoa ufahamu ili kutafuta wasiompenda. Acha ujuha.
  8. WAZIWAZI

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Nakushauli usipende sifa zitakutokea puani. Huu mda utapita.
  9. WAZIWAZI

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Wanatamani kusema CCM ndo imepeleka mafuriko Dubenga sema nafsi inawasuta wataonekana Vinega.
  10. WAZIWAZI

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Kuna mlevi kasema Nyumba ya Mungu.😁
  11. WAZIWAZI

    Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Mbona Hayati Magufuli alikuwa ameshatutoka hizo tarehe?
  12. WAZIWAZI

    Zitto Kabwe: Ruzuku kwa Vyama Vya Siasa iwe ni 10% ya Bajeti ya Nchi na igawiwe kwa Vyama Vyote!

    Sio 10% ipangwe mikopo kwa vijana tupunguze Panya white mitaani?
Back
Top Bottom