Recent content by Waziry Khalfan

  1. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Nina hekari moja ya mihogo, natafuta wanunuzi

    Nahisi jinsia haihusiki ila (Male)Muhogo upo TANGA wilaya ya MUHEZA kata ya KIGOMBE. Kuhusu bei namba niliweka hapo juu. Wkhalifa9@gmail.com
  2. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Nina hekari moja ya mihogo, natafuta wanunuzi

    Wapendwa amani iwe pa1 Nanyi nna heka 1 ya muhogo bado cjapata soko naombeni muongezo. Au kama kuna anae hitaji 0672223738 ahsente.
  3. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Ahahhahah! Bao lamkono lile la maradona????
  4. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya RC. Paul Makonda hakina tofauti na wale waasi wa kijeshi tunaowaona kwenye nchi .

    Naona mapicha tyuu siasa ya bongo nikama bongo movie tu.
  5. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

    Mi nalima sana huku kijijini tatizo uwezo wa kunyeleza mvua sina na zile million 50 za kila kijiji cjui mpaka awamu ya pili....!
  6. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Je, kufanya mapenzi na binti Wa miaka 16 ambaye si mwanafunzi, ni kosa kisheria?

    Ni kosa kisheria na kidini pia hata kwa upeo wako tu kama mwanao atolewa bikra baada ya kufeli PR school utajiskiaje? Kibaya zaidi apate mimba akiwa na umri huo...! Nishida
  7. Waziry Khalfan

    JamiiForums Tanzania Flyover na Fedha za World Bank: Kipigo kingine kwa Tanzania

    Kama Tanzania no nchi tajiri mi skatai lkn kwann isitumie pesa zake ?
Back
Top Bottom