Recent content by wazirib28

  1. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Kazi zinaendelea
  2. wazirib28

    Silicon Dar: Je ni suluhisho la kweli au janja janja?

    Designer ambaye ameshakamilisha portfolio yake ujue sio designer...lol. Ila waeza niona IG www.instagram.com/maghaseti . Samahanini kama litaonekana kama tangazo.
  3. wazirib28

    Silicon Dar: Je ni suluhisho la kweli au janja janja?

    Kuhusu Logo and Brand Identity Designer/ Graphic Designer hujamlist hapo please tusisahauliane.
  4. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Ahsante. Karibu sana Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
  5. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Habari! Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika...
  6. wazirib28

    HUU NDO UTARATIBU WA MAJESHI

    Na wakitangaza?
  7. wazirib28

    Ripoti ya CAG 2017/2018: Benki ya Posta walitumia Sh. Milioni 495 kuchora nembo tu!

    Mnh! Japo namini bei ile imenishangaza lakini nawewe umenishangaza. Yaani logo ya bank kabisa ichorwe kwa 50,000/-?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ilhali mimi sikuchorei logo ya biashara ya karanga kwa hiyo bei. TPB wametukweza sisi madesigners kupitiliza lakini pia wewe umetushusha...
  8. wazirib28

    Picha za ajabu zilizokosa maelezo ya Kisayansi

    Haya mambo yapo asee. Juzi tu hapo Nilimuona dada yangu anasnap waaaa...nilishangaa kuona picha yake ina masikio na pua za paka. Nilishtuka sana sijui huyu dada yangu ni jiniii? Hadi leo najiuliza sipati jibu.
  9. wazirib28

    Future

    Bana shabaniii ... inapost picha yake bana...inajua hii facebook bana shabani.
  10. wazirib28

    Swali: Bastola inatakiwa ikae upande wa kulia au wa kushoto?

    Kwangu mimi natumia mkono wa kulia hivyo lazima ikae kushoto maana ni rahisi zaidi kuichua kwa wepesi. Pia nikiwa sina nafasi ya kutosha naichukua bila shida kwasababu ikiwa kulia lazima kiwiko kitadai kujikunja na bega kupanda juu ili niichukue.
  11. wazirib28

    Msanii gani kufunika fiesta 2018?

    Rozi Muhando
  12. wazirib28

    Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

    Umemhonga Mshana Jr? Au ntakua sijaona vizuriii...
  13. wazirib28

    Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

    Huu uongo umezidi ongo zote
  14. wazirib28

    KUTUMIWA PESA KIMAKOSA!

    Kweli kabisa asee.. hata mm naogopa sana. Ukitaka kuthibitisha hebu nitumie uone. Nakurudishia.
Back
Top Bottom