Recent content by Waziri kivuli

  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Ni wazi kuna rafu imechezwa kwa kushirikiana na Ndugai!Sasa ili iwe fundisho napendekeza wafutwe uanachama na KM apeleke majina mengine ambayo yamo kwenye orodha ya wagombea viti maalumu!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Je, Museveni haamini kama Corona imeisha Tanzania? Kabudi amejikuta kapata aibu!

    Hahahahaaaa, Museveni sura yake nimeiona leo, hakika jamaa ni dikteta haswaaa!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Makonda alimaanisha nini kumwambia Fatma Karume hivi “Baba yako anakulinda”?

    Ujumbe huu nadhani unamfaa sana Makonda mwenyewe!Baba yake akistaafu sijui atakuwa na hali gan
  4. W

    JamiiForums Tanzania Je, unatamani kitu kingine kipi kijengwe Chato?

    Bandari inajengwa huko pia!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje wananchi makini wa SGD masharika kumuamini mtu asiyewajibika kama Tundu Lisu ubunge?

    Ndio maana CCM wakifa sishtuki,naona kama wamekufa nzi tu!
  6. W

    JamiiForums Tanzania How I almost secured a job in 10 minutes !!!

    H Halafu neno "literally" limebamba sana kwa story yake!
  7. W

    JamiiForums Tanzania IQ ya Nyerere ilikuwa kubwa sana: Debate kati ya Nyerere na mke wa Rais Roosevelt

    Ukimchukulia mwalimu Nyerere alipatikana Tanzanania tukia hata million 10 hatujafika,Ila sasa tuko milioni 55+ Ila ndio tumepata tulichokipata!Yaani sijui tunakwama wapi kizazi hiki?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe ataka Bandari ya Bagamoyo ijengwe kwa masharti yoyote

    Uzi huu nasikia harufu ya propaganda!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri wataendelea kusimamia Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais Kama zamani

    Inamaana hujaelewa kabisaa hoja ya mchangiaji?Daah we kilaza kweli!!!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Watuambie wamewalipa kiasi gani hiyo kampuni
  11. W

    JamiiForums Tanzania Bara la Africa liwe macho na Mchina,Heko Rais Magufuli kwa hili la Bandari ya Bagamoyo

    China Rafiki wa kweli kageuka adui???
  12. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019

    Machinga nao wamejumlishwa kwenye hizo biashara?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Wachaga kwa kauli aliyotoa Makonda msibani

    Dr Bashiru ndiye aliyemuombea msamaha kwa waumini ambao wengi ni wachaga Na askofu Dr Shoo,sasa ulitakaje?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kauli hii nayo imebagua walemavu

    Mfano unafanana kwa 100%
Back
Top Bottom