Recent content by waziri chengula

  1. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    Ikiwezekana uliza wachezaji wa simba(simba players) afu sreen shot utuletee hapa
  2. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Umeelewa kilichoandikwa? Pole sana
  3. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Kazi iendelee(safari ziendelee)
  4. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Hapo Umenena!
  5. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Nyie ndio wale wale wapigaji
  6. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Nawasalimu kwa jina la muungano! Katika vipindi vitatu vya uongozi ambao umekaribiana sana yaani kipindi cha JK,JPM na hiki cha mama yetu nimejifunza mengi kuhusu siasa na uzalendo. Nazungumzia hivi vipindi vitatu kwasababu enzi za kina nyerere na mwinyi huko nyuma uzalendo ulikuwepo na uchungu...
  7. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Mtoa story katekwa nini..
  8. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Wapeni watu dili hizi . maisha yanawavuruga huku kitaa! Wanahangaika kutafuta freemason /kupga watu risasi kumbe kuna njia ndogo tu ya kuwa na roho ngumu tu kuingia misitun!
  9. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tumalize Tatizo la udini Tanzania "Mungu siyo mzungu"

    Udini ni tatizo ambalo lipo sana kwenye jamii yetu ya Tanzania na linatutafuna. Hatuna vita vya mapanga na risasi lakini kisaikolojia tuna vita kubwa sana! Nimeshududia mitafaruku katika ndoa,koo fulani,familia kuvunjika na hata sometimes kuligawa taifa letu hasa wakati huu wa korona.Hii yote ni...
  10. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndiyo mkuu! Msaada kama unao
  11. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    Hivi ulifukuzwa kazi nini! Hujibu maswali ya wateja..( ndiyo tatzo la motivational speaker na waajiriwa)! Anakushauri afu yeye hata hicho kitu hakiwezi
  12. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo sijui kaimba nani " Maisha mbona unanihangaisha Ipo siku nami nitayapatia" Baadhi ya mistar yke " Bos wangu ni mdogo,mimi ni mkubwa namweshimu kwa sababu ya maisha". Mwenye nao please naomba
  13. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Uke unaotoa sauti mfano wa kujamba

    Duuuh hakika hii 5 tano kabambe
Back
Top Bottom