Recent content by Wazalendo unity_official

  1. Wazalendo unity_official

    Usiyoyajua kuhusu Konokono

    Lingine Usilolijua kuhusu Konokono ni huweza kulala kwa miaka mitatu wakiwa ndani ya magamba yao, lengo ni kuzuia unyevunyevu ama maji maji kwenye miili yao yasikauke, miili yao ikikosa unyevu konokono hufa. Did you know that snails can sleep for three years - Mzalendo boy
  2. Wazalendo unity_official

    Namna gani naweza tumia Google Adsense kuniingizia kipato

    KhaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sicheki kwamba n mazuri!!
  3. Wazalendo unity_official

    Natafuta mtu ambae atakuwa ana post kwenye blog

    πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watembeleaji 50 kwa siku 50 dollars!! Daaah iv google AdSense ni baba zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tukienda na mwendo huu ntaacha kutumia jamii forum maana tunatiana kamba vitu vya Waz kabsaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  4. Wazalendo unity_official

    Bloggers, msaada please

    Blog nme create mwenyew ila Theme nmedownload nimeongeza baadhi ya gadgets tu!
  5. Wazalendo unity_official

    Bloggers, msaada please

    Habari za muda huu wakuu! Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda...
  6. Wazalendo unity_official

    Bloggers tujadiliane kuhusu kuzimwa kwa matangazo

    Ouk Asante mkuu ndo nko naichimbua vizir SEO apa manake izi mambo mi n zero kabsa. Kumbe Kuna ad white hat na grey hat!
  7. Wazalendo unity_official

    Bloggers tujadiliane kuhusu kuzimwa kwa matangazo

    Mkuu ii ya BLACK HAT SEO ndo nn naoinag tu uku na uko
  8. Wazalendo unity_official

    Hii ni kwa wale wadau wa Adsense, pita hapa

    N kwel mkuu pana kaugum flan. ila ukikomaa unapata mm nlipata bila domain mwak Jana na kuna jamaa alinfata Bobo nkamuelekez jins ya ku apply naye akapat kwa free domain.
  9. Wazalendo unity_official

    Naomba kusaidiwa haya kuhusu Online TV

    Nakubal San mkuu nmepat kaulew na mm umo
  10. Wazalendo unity_official

    Hii ni kwa wale wadau wa Adsense, pita hapa

    πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Wabongo s n wabahl kinoma!!! Ila Mbona bila domain AdSense acc unaipata tu!!
Back
Top Bottom