Recent content by Waukhayaa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Usaidizi unaitajika jaman..

    Nataka Notification za jf zistop kwenda kwa email addres yangu.. Mana kila nikisaini inn kwa yahoo nakuta email zaidi ya 20 toka jf plz msaada jinsi ya kuzistopisha.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Chausiku Huyu HAPAAAA

    huyu kwel cheupe.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni wenu wana jf

    Karibu sana.. Mie mwenyewe ni wajana.. Cjui we ni me o ke'
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    mie dume la shoka... mwanaharakati... mwana M4C
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Teh! Teh! Teh! Mie kidume.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Babu aspirini ana nini? Mbona kama mnamuabudu?? Nijuze basi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Halina virus. M4C
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Tundu lisu! Jembe letu liko fit linasubiria msimu ujao(2014) liendeleze umwamba.
  9. W

    JamiiForums Tanzania hodii

    yap! welcome...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

    Acha iwe ivyo... Jamaa nackia alikuwa anatoka na wp wa vijana wake! Mi naona kifo ni haki yake..
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Kimefanana na cha kwe2
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Punda tumewala mboga woote! Nimekuja na kyaluu(fisi)
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Embu nieke sawa.. Umeniacha jangwani.. Dr Asprin??!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    ucjali ntawaleta.. Wa iguguno! Wa Kiomboi.. Nk
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Msimu wake bado usihofu...
Back
Top Bottom