Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kuliko ilivyotegemewa!
Sie tuliopo Mwz tumeshapata mengi yathibitishayo wahusika.

Kama mlivyoona kwenye gazeti la leo la Mwananchi kua , kwamba visasi vya mapenzi vyahusika.
Ndivyo ilivyo, nachelea kwa sasa kuyatiririsha kama yalivyo, kwa ku'refar ile kanuni "issue bado iko kwenye mihimili "

Btw kwa hints ni kwamba mchezaji wa zamani wa Dar Young African na Taifa, Fumo Felician yuko under interrogation, ingawa yeye si muhusika but nduguye yasemekana ndiyo muhusika, na ndiyo aliyezaa na Ticha Dorothy.

Aidha kama inavyosomeka kwenye gazeti la Mwananchi , kua baadhi ya majirani wa Mwl waliohojiwa na wakadai wakimfahamu huyo ndgye former player ndiyo walikua wakimtambua kama Baba mwenye banga.

That's why hizi bado ni allegation, ambazo kimaono zinakaribia sana kwenye uhalisia wa tukio.
Aidha muhusika mkuu tayari ashakamatwa akiwa Dar, na tayari ashaletwa Mwz.
My take :
Nina imani shughuli ya kuwapata wahusika within a week itakua imeeleweka!
Damu ya binadamu si kitu cha kucheza nacho.
 
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao
 
La Mwangosi mpaka leo bado linavutwa ila kuuwawa kamanda wanambiwa 'walipize kisasi'. Wizi mtupu
 
Kumbe hata wasio wake za watu ni sumu ee?

Nicas, yapo mengi tutakayojifunza katika hii issue!
Kwanza hii mikao ya mume kuicha familia yako kulee!
Na wewe kulee! Are not good in such !
Hapa inaonesha wazi Rpc, alikua akiishi Mwz famillia Dar!
Unategemea nini ?
Then walimu wenzake Dorothy walipodadisiwa na waandishi habari kama wanafahamu link yeyote ya love btwin RIP with Ticha wanajifanya eti hawajui !
Wakati kuna habari zilizothibitishwa kua mke wa mtuhumiwa mkuu na Ticha walishawahi kuzichapa.
Sijui huyu Ticha alikua na mautamu kiasi gani !
Mimi sijui !
Only teacher's consumers they know how swit it's!
 
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao

acha kufanya conclusion za kijinga.hiyo allegation iko proved? Au na wewe ndio walewale wafuasi wa ponda?
 
Usihamishie siasani wakiiona huko wenye nchi yao watktafuta

Eventhough nimetupia just a hints but that details nilizotupia si siri kwa majirani wa Dorothy with pipo who livin Mwanza outskirts, na hasa ukifatilia Mwananchi gazette ya leo.
Utakuta kuna mwanafunzi jirani na Mwl amehojiwa na kudai yeye alikua akienda kujisomea pale kwa Ticha pamoja na watoto wa Ticha, na alikua akimtambua mshukiwa mkuu kama ndiye Baba wa hapo kwa Mwl.
 
Eventhough nimetupia just
a hints but that details nilizotupia si siri kwa majirani wa Dorothy
with pipo who livin Mwanza outskirts, na hasa ukifatilia Mwananchi
gazette ya leo.
Utakuta kuna mwanafunzi jirani na Mwl amehojiwa na kudai yeye alikua
akienda kujisomea pale kwa Ticha pamoja na watoto wa Ticha, na alikua
akimtambua mshukiwa mkuu kama ndiye Baba wa hapo kwa Mwl.

Acha iwe ivyo... Jamaa nackia alikuwa anatoka na wp wa vijana wake! Mi naona kifo ni haki yake..
 
Nicas, yapo mengi tutakayojifunza katika hii issue!
Kwanza hii mikao ya mume kuicha familia yako kulee!
Na wewe kulee! Are not good in such !
Hapa inaonesha wazi Rpc, alikua akiishi Mwz famillia Dar!
Unategemea nini ?
Then walimu wenzake Dorothy walipodadisiwa na waandishi habari kama wanafahamu link yeyote ya love btwin RIP with Ticha wanajifanya eti hawajui !
Wakati kuna habari zilizothibitishwa kua mke wa mtuhumiwa mkuu na Ticha walishawahi kuzichapa.
Sijui huyu Ticha alikua na mautamu kiasi gani !
Mimi sijui !
Only teacher's consumers they know how swit it's!

Ina maana wewe haujauona uzuri wa ticha?
 
Back
Top Bottom