Recent content by waukaja

  1. W

    Ni taratibu gani za kufuata nikitaka kufunga kampuni

    Habari wadau. Nataka kujua taratibu za kufunga Kampuni. Naanzia wapi?
  2. W

    Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

    "Sisi" Mimi siko kny hiyo Sisi yako nitoe kabisa.Heshimuni Katiba.Mkiona mnanufaika Na aliyepo mnataka hasiondoke ili muendelee kupiga hela.Katiba inasema miaka 10 iheshimiwe.Mimi sioni alichofanya kuwazidi wengine.Hata Mimi nikiwa Rais pia nitafanya Kwa uwezo wangu.When 10 is over aende
  3. W

    Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

    Vifo 10 wakati daily vifo vinaripotiwa social media.Anatumia mkono wa chuma kubana Media,Media zingekuwa huru paka sasa Watu wangeigia barabarani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    Gari kugoma reverse

    Ok Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    Kwanini vijana wanaotoka chama cha CHADEMA wanapata nafasi za kiutawala CCM?

    Ni kama unavyoona Wabunge ni Wawakilishi wa Wananchi.Nao pia wanawatumia Hawa kama Wawakilishi ili Wananchi waone kweli CCM kumenoga hadi Fulani kahamia.It is just a Fallacy Na Kwa kuwa Wajinga ni wengi hiyo Fallacy inafanya kazi Kwa kiwango chake.Ahsante,Karibu sana Sent using Jamii Forums...
  6. W

    Kwanini vijana wanaotoka chama cha CHADEMA wanapata nafasi za kiutawala CCM?

    Nia ni kuinfluence wengine waje zaidi ni kama Takrima.Ahsante,Una swali lingine nikusaidie? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. W

    MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Gari ni gari tu.Kinachoangaliwa ni wewe kutojikuta Segerea ukiambiwa Uchunguzi unaendelea.Be good at legal side Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    Gari kugoma reverse

    Habari Wataalam, Gari yangu ni Vitz 2001. Tatizo la kugoma reverse limeanza kama week 2 zilizopita. Mara nyingine inakubali reverse hasa Asubuhi ninapoiwasha hila baada ya hapo inagoma ni only 10% inakubali. Shida ni nini? Gearbox oil ninayotumia ni Lubex na niliweka January tarehe 8. Sent...
  9. W

    Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    Mimi nashauriwa nibadili cylinder head gasket lakini Kwa utaalamu wako kuwa kama ikiungua Maji Na oil ujichanganya nafikiri haijaungua.Maana Maji yapo meupe kabisa.Labda nianze kutumia coolant Na pia nirudishe Thermostat.Maana Nina uwezo wa kutola airport paka kinondoni bila gari kuchemsha hila...
  10. W

    Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    Na kuondoa Thermostat kwenye gari mfano Vitz vvti engine.haiwezi kuwa shida ya kufanya Maji kupotea Na hatimae Engine kuchemsha? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. W

    Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    Mimi Gari yangu ni Vitz 2001.Ilikuwa inachemsha nikabadili radiator nikaweka used radiator, ikawa inachemsha Kwa umbali mfupi zaidi.Ikasafishwa ikafungwa Tena.Kwasasa Nina uwezo wa kwenda kutoka airport paka Magomeni Na kurudi hila Maji yanapungua.Natumia maji ya kawaida Na Thermostat ilitolewa...
  12. W

    Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

    Salary Slip, Labda Damu za Watu zinamtesa kwa mujibu wa report ya Pompeo Na imani zetu waafrica Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Njaa mtaani huku acha mambo yako.Bora arudi JK tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom