Recent content by watusaw

  1. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na Mama Samiah kutogusia katiba kwenye mikutano ya kampeni, Nini tatizo?

    Katiba siyo ajenda ya ccm miaka yote so wanatakiwa kukaa pembeni kabisa mwaka huuu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Asante ukawa umko juuu naona mbeya leo watu wamefukia ile mbaya
  3. W

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Baba wa Taifa iliwai kusema watz wakikosa mabadiliko ndani ya ccm basi watatoka nje ya ccm . Na pia kiongozi bora atatoka ccm sasa tumempata ni lowassaaaa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

    Jamani ukawa mambo yako sawa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hata mimi sijamwelewa
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa NEC watapiga kura?

    Upeo oooo mtu anakurupuka na udhungu wa kuunga unga tuu elimisha watu wakwelewe kimbaa we
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

    Nyie nenekeniiiiii kula Ccm kura ukawa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 8- Kufyatuka - "Mnafanya hivi kweli nyinyi binadamu nyinyi?"

    kaishiwa huyu hivi wamegundua sasa lowassa ni punguani why? Walimpatia uwaziri mkuu mh kaishiwa au mwanakijiji anataka kufa soon tutazika RI P mwanakijiji tulikupenda Sana ila mungu kakupenda Sana tutakutana huko lakini Tanzania rais ni lowassa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa magazeti Clouds TV hauvutii

    Kiukweli siwaelewi kabisa ila tuache ushabiki humu
  10. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari ya Serikali inatumika kwenye Kampeni za Wanasiasa

    Nzii hiii hiii hiii noma tukutane 25/10/2015
  11. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari ya Serikali inatumika kwenye Kampeni za Wanasiasa

    Haaaaa Pascal bird
  12. W

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra za Ukombozi zimeanza Jijini Dar es Salaam

    Nataka urudi miaka ya nyuma kabla ya uhuru/nyerere pia hajazariwa kulikuwa na chama gani zaidi ya wakoloni weupe? Baadae hao hao wakoloni walijigawa vikawa vyama vyingi sana mpaka uhuru so mweusi mkoloni kaamua likability kwa wenye nchi kwa kuwa wenyewe wameamua kuchukua nchi yao iwe isiwe...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra za Ukombozi zimeanza Jijini Dar es Salaam

    Anajiandaa kukabizi nchi uhuru kamili 26/10/2015
  14. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Unajua wtz hua hatuna na mazoe ya kuhoji /kuuliza maswara ya viongozi ila watu wanahoji mkuu wa majeshi yuko wapi? Kwa kuwa kuna uvumi kalishwa sumu kwa hiyo tunataka majibu ya hoja kwa ifasaha hapa hakuna aliye husisha siasa wala chama sasa huyu anaekurupuka kuongelea ukawa mi nahisi anaugonjwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Kumbukumbu ya kifo cha Mwl Julius K Nyerere na Uchaguzi Mkuu

    Ccm ife kabisaa
Back
Top Bottom