Recent content by watu kibao

  1. W

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini watoto wako au wanafunzi wa boarding wakiwa nyumbani likizo hii ?

    Niliyoyagundua Sebuleni kuligeuka Bedroom siku za mwanzo - TV ilikuwa on muda mwingi, wavulana utawakuta kwenye Game au mabinti kwenye series Chakula tulichowapimia hakikutosha hasa ubwabwa wa usiku, ilibidi vikombe vya ziada viongezwe
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UDOM kupunguza programme degree za ualimu, sasa zitabakia nne tu

    Inapendeza, Vyuo vya ualimu vibaki kuwa aina za Saut na Mkwawa Udom, Udsm, Mzumbe, wajikite kuongeza kozi za muhimu za kisasa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

    Kwenye statement ya benki naona kuna makato ya elfu 2 tu,
  4. W

    JamiiForums Tanzania Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Kipanya yupo sahihi, huwezi kusikia Media zinawataka wasasiasa wawajibike kwa wizi, huwezi sikia mmedia imeripoti matukio ya watu kuuawa na makampuni ya migodi, n.k. Vitu vingi ni mpaka serikali ikiri baada baada ya watu kushare videos au ushahidi mitandaoni ndio media zinaanza kuripoti.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Umeyaona matokeo ya mwaka huu ? karibia kila mwanafunzi kapata 1 na 2
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama bado kuna watu wanaamini tena eti kufanya kazi kwa bidii pekee huleta maisha bora

    Kwa Tanzania na nchi nyingi Afrika hu msemo unawafaa zaidi watu waliojiajiri. Kama umeajiriwa unajisumbua tu, mshahara utabaki kuwa pale pale, ndio maana watu makazini wanapiga stori na wanazurura sana huwakuti ofisini. wanaopandishwa vyeo wengi ni machawa, wanaotoa rushwa, ndugu na wale wenye...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sina imani kabisa na huduma zinazohitaji tupige picha alama zetu za vidole, hatujui picha hizo zinatunzwaje, tuendelee kugandamiza vidole

    Wanasema “kamera inascan,” lakini kiuhalisia kinachofanyika ni kupigwa picha ya vidole, na hiyo picha inahifadhiwa kama faili mahali fulani.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Nakumbuka uliwahi kuweka kisa humu cha mbibi alietoka Mwanza vijijini kwenda kutibiwa Dar, aliboreka kukaa sehemu ya kishua kila siku anataka kurudi kwao huko kijijini 😂 Mtu akizoea mazingira ni ngumu sana kumuhamisha, kuna watu washazoea uswahilini, yale maisha kwao ndio yanawapa utulivu,
  10. W

    JamiiForums Tanzania Karia kubadili ngao ya jamii ziwe timu 4 alidhani anaisaidia Simba lakini anaenda kutuumiza, Tunaenda kupokea kipigo cha sita mfululizo

    Ngao ya jamii ilikuwa ni timu 2 kwa miaka mingi lakini Simba ilipoanza kukosa nafasi ya kushiriki, Karia akaongeza ziwe timu 4. Nasikitika kusema kwamba kwa maksudi mechi za nusu fainali wanaweza kupanga Simba vs Yanga Kwa jinsi Yanga wanavyojiandaa huku Simba tukiwa bize kutafuta mchawi, hiki...
  11. W

    JamiiForums Tanzania waafrika tuwe wakweli tu, tunachukia wizi na upigaji tusiposhirikishwa lakini tukishirikishwa tupo tayari kutetea na kulinda

    Sio dunia nzima mkuu, Ingia youtube kuna jamaa huwa anadondosha hela maksudi, watu weusi wengi huwa wanaiba hawamwambii lakini wazungu, wachina, wahindi, wengi wanamstua amedondosha
  12. W

    JamiiForums Tanzania waafrika tuwe wakweli tu, tunachukia wizi na upigaji tusiposhirikishwa lakini tukishirikishwa tupo tayari kutetea na kulinda

    Wakiiba pesa wanaishi maisha yasiyo na shida za pesa, Hospitali ni zile premium za India, kusomesha watoto vyuo vya nje, magari ya kifahari, kujenga majumba ya kifahari, safari za Dubai, kula bata ndefu.
  13. W

    JamiiForums Tanzania waafrika tuwe wakweli tu, tunachukia wizi na upigaji tusiposhirikishwa lakini tukishirikishwa tupo tayari kutetea na kulinda

    Ni wazalendo wachache sana wanaochukia ufisadi, Ukali Wetu wengi si kwa Sababu ya Maumivu ya Ufisadi, Ni kwa sababu hatukuitwa meza ya mgao Dili likipigwa iwe ni ofisi au watu flani wamepiga hela, ghafla tunakuwa wakali sana, midomo inapiga kelele kama injini ya gari ya mgambo. Lakini...
Back
Top Bottom