Nakumbuka wakati yupo yanga ya Abasi Gulamali mwaka 91/92, kocha alikuwa Mziray akisaidiwa Charles Boniface Mkwasa, Huyo beki alikua noma, bora mpira uende mchezaji abaki, alicheza na kina Steven Nemesi,Sanifu Lazaro, Sahau Kambi,Keneth Mkapa,Said Zimbwe,Issa Athumani,Abubakari Salum,Justin...