Recent content by watching movies

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ipo siku China na Urusi watazichapa sana

    Alafu Dunia itarudi tena magharibi Yani hii Dunia ni kutesa kwa zamu😁
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa

    Ni miongoni mwa watu ambao wameathiriwa sana na kifo Cha magufuli Yani unawaona hawako sawa hata kisaikolojia
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni vita baridi kati ya Kikwete na Magufuli

    Hatimaye vita imeisha ila imeisha vibaya starling amekufa badala ya jambazi🥹
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Huyo mengi mwenyewe alitaka kumnunua magufuli ila jamaa alimkataa na yeye ni walewale tu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Kuna mtu anatakiwa kuondoka duniani😂
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Japo kiurais simkubali Samia lakini siwezi kumuombea kifo aisee wanajf msameheni Samia na yeye ni binadamu sio malaika hajakamilika
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Yeah Ushahidi wa unayoyaongea ni benard membe
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Hao wachina wenyewe hawawezi kuvunja tofali kama waafrika labda biskuti ndio maana wanatumia kichaka Cha teknolojia😁😁
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Mtaji pekee wa waafrika ni kuzaliana ndio maana magufuli alikuwa anasisitiza sana kufyatua 😁alikuwa anajua hii fact japo Kuna watu hawakumuelewa kwanini anashauri kufyatuana sana
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Hivi mzazi wa marehemu si yupo sijui wakati ule alijiskiaje na hata sasa sijui anajiskiaje
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sumu zinazotumiwa na majasusi kumaliza adui zao kwa msaada wa grok

    Unataka kusemaje sema tu😂😂
Back
Top Bottom