Recent content by wastani kwa idadi

  1. W

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Lucky Dube hata kuji position imekuwa shida
  2. W

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Uzi umepoa sana, mashabiki wa bado wana maumivu ya kuishia makundi ya CAF kwa udhamini wa lucky Dube 😂
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sitakuja kusahau nilipokamatwa navuta nyumbani, nililetewa mchungaji alieniombea lisaa akidai nina pepo

    Ilikuwa saa tatu usiku, nakumbuka nilikuwa room nimechill kisha nikaamua niende nje nijiburudishe kidogo. muda huo wazazi walikuwepo sebuleni wakitazama TV, hivyo nilipaswa kuwa mwepesi, nitoke haraka kimya kimya kisha nirudi bila wao hata kugundua. Basi nikaenda nje nikajibanza katikati ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    hakika
  5. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Nimeishi Arusha. Wenyeji ni waarusha, wameru na wamasai ila hali zao za uchumi zipo chini, wachache kati. ukichukua watu wa Arusha wanaoishi uchumi wa kati na wa juu, wengi ni wachaga. Wapare wengi wana hali za kawaida. Warangi, wanyaturu, Wairaq na wanyiramba wamehamia Arusha lakini hali...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Cha ajabu nimesoma uzi wote 98% wanaozungumziwa ni wachaga Kusema kuogopwa umekosea labda useme impact wapare hata mimi sijaona impact yao. Shuleni nimesoma na wapare uwezo ni wa kawaida, vinara wa biashara wanaojulikana ni wachaga, wapemba, wakinga na waha wanafuata wengine, sina maana ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    Kassim kajipanga sana, atapita ila cheo chake hakina guarantee
  9. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    hatma ipo kwa wenye mamlaka ya kuhesabu kura
  10. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wabunge gani wa CCM unahisi wanaenda kuporwa na wenzao nafasi za kugombea Ubunge 2025

    Mbunge wa Iringa Mjini presha inapanda presha inashuka
  11. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wabunge gani wa CCM unahisi wanaenda kuporwa na wenzao nafasi za kugombea Ubunge 2025

    Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.
  12. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

    1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwetu tunachukulia poa ila wamalawi wanazungumzia kila siku Ziwa Malawi / Nyasa, Wanataka ziwa lote la nini ?

    Ni kwasababu karibia nusu ya ziwa lipo ndani ya Tanzania, nao wakenya wamepewa kwa usawa kulingana na eneo lao lilivyoingia ziwani
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

    Hapo umenikumbusha vizuri ni kweli kuna remix ya leo Bongo fleva ya dully ilibamba japo sio super hit
Back
Top Bottom