Recent content by wasso

  1. W

    Ombi kwa Gen Davis Mwamunyange: Acha kulitia aibu Jeshi letu (JWTZ)

    Tofautisha nguo za kivita combat dress na nguo za sherehe ceremonial dress nguo za sherehe lazima askari awe smart angalia yule askari aliyepo usawa na Rais utadhani ana kibyongo?
  2. W

    Yaliyojiri sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru: Jumanne, Tarehe 9 Desemba, 2014

    Anayeumwa ni yule alikuwa Simiyu Mhe.Paschal Mabiti wa Manyara ni mzima ndiyo kapelekwa Simiyu
  3. W

    Magesa Mulongo umewatukana Wakerewe, waombe radhi

    Umenena kweli mkuu
  4. W

    Nauza Samsung Galaxy Original S2 380, s3550, s4 650 na s5 kwa 950

    Huawei p7 unazo? taja na bei yake
  5. W

    Nahitaji Huawei p6

    P7 bei gani
  6. W

    Sony Xperia ion inauzwa

    Upo wapi?
  7. W

    Askofu Kilaini aitwa Dar es Salaam na Kanisa Katoliki

    Yule askofu alikuwa jimbo la Same yupo wapi?
  8. W

    Mbunge Livingstone Lusinde,ni kweli mbumbumbu au huwa anajichetua tu?

    Naona alikosa malezi mazuri yenye maadili mazuri kufuatia kufiwa na wazazi wake akiwa angali mdogo
  9. W

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Tayari bunge limekaa kivyama the majority in the house will win
  10. W

    Mtikisiko! Serikali, CCM wahamia Dodoma. Pinda, Kagasheki watoleana uvivu

    Mgambo wanaruka na kukanyagana
  11. W

    Hili la Sitti, RITA wasikwepe kwa kutumia Polisi

    RITA wamezama zaidi kwenye ukusanyaji wa ada za vyeti wanavyotoa kuliko kuangalia uhalali wa mtu wanayempa cheti kama anastahili na hata hawaangalii usahihi wa taarifa zilizomo kwenye vyeti wanavyotoa wanategemea taarifa ya muomba cheti hata kama kadanganya RITA wanatoa tu vyeti kwa kutegemea...
  12. W

    Toyota laver 4 inauzwa

    Ana laver 4
  13. W

    Baridi ya Mbeya, Iringa, Arusha na kwingineko hapa Tanzania

    Loliondo napo kwa baridi ni balaa
  14. W

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Madeni ya serikali kukopa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii madeni ya waalimu na watumishi wengine ujenzi w maabara katika shule za sekondari
Back
Top Bottom