aisee hii nchi ya ajabu kweli ina maana miaka 20 yote ulikua una fanya huu upuuz usio na kichwa wala miguu, huyo kakobe na ww ka kono kono ndo wale wale hamna jipya.
kweli viongozi wetu ni waajabu kweli na ukiaangalia background zao ni shida tup?? ilakilicho mtokea sadam huseni ndicho kitakacho watokea wakina profesa muhongo?
Niko njia panda mm nikijana ambae ninae ndugu wa kike (binam) baada ya kauli za mitego za mda mrefu ame amua kufunguka na kuweka wazi kuwa asinge penda kuona nina oa mke zaidi yake na kua yeye ame nipenda sana.
Na mm baada ya kufariki baba yangu shangaz na mjomba ambao ndio wazazi wake walikua...
imekua kawaida kwa wana siasa wa afrika kuto kubali kushindwa pale inapotokea kura hazijatosha kuwafanya wao kuwa viongozi, na bila huruma wamekuwa wakitumia fursa ya ujinga ulio kithiri miongoni mwetu raia kutuchochea kufanya vurugu ambazo zimekua zikisababisha maafa na hasara kubwa kwa raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.