Recent content by Warue

  1. Warue

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Sijawahi kusoma makala yako nikafika mwisho kwa sababu ni utopia mtupu. Kwa maoni yangu, wewe ndie mwandishi mwenye akili ndogo kuliko wote. Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kama kidonge cha piriton. Makonda sio level yako, kiungozi na hata kiutendqji. Jaribu kupunguza makala marefu...
  2. Warue

    JamiiForums Tanzania Tunavyosema mkataba una dosari muelewe, oneni ufafanuzi wa CCM hapa na ndio wamesema wanaelimisha watu

    Tangu lini makubaliano yakawa na legally binding clauses? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  3. Warue

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    I hate the way you normally build your arguments from a collection of [emoji1005]. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. Warue

    JamiiForums Tanzania Zembwela: Elimu ya Sheria si makalio eti kila mtu awe nayo

    Uwezo wa kujua kama DP World wana utaalamu amesomea wapi? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. Warue

    JamiiForums Tanzania Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Mmgemuachia maisha yake ili tumlaumu kwa haki Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. Warue

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Mauaji "Rudisha upanga wako Alani; atakayetumia upanga, atakufa Kwa upanga"

    Sio chain of murders------- ni serial killer Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. Warue

    JamiiForums Tanzania Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

    Evalasting president
  8. Warue

    JamiiForums Tanzania Ni vema ikawepo na Kumbukizi ya Komredi Horace Kolimba

    Tusisahau na Dr.Sengodo Edmund Adrian Mvungi
  9. Warue

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alifanya kosa la kiufundi

    Wasaga sumu mnachangia sana kumpoteza mama. Kwani mama si aliteua upya na woote wakaapa mbele yake??
  10. Warue

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    Hii comment ni ya kuprint kabisa na kuifanyia lamination
  11. Warue

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

    Sio kweli, nenda NBS upate data kamili
  12. Warue

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

    Petrol tulinunua 1800
  13. Warue

    JamiiForums Tanzania Shaka azindua kampeni za CCM jimbo la Ngorongoro

    Mnatia aibu kuanzia juu mpaka chini. Hvi Shaka ni wa kulingalinisha na Polepole!!!! Aibu!!!!!
  14. Warue

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru kuchunguza mauaji ya Hamza

    Mtu kaua mchana kweupe alafu aundiwe tume!! Mnachekesha sana
  15. Warue

    JamiiForums Tanzania EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

    Akili ya "floats' za tigo, remba tu mda utawadia
Back
Top Bottom