Ungejua neno hayati ni neno la kiarabu, na washahili walilitohoa kimakosa kumaanisha mtu aliyekufa, ila neno hayati ni neno la kiarabu al hayyat likitamkwa sawa na kiswahili hayati likiimaanisha 'maisha' ...
Inategemea, kwenye criminology kuna kitu kinaitwa self defense, mtu alovamia kwako kama hakuwa na athari inafikia uwezo wa kukutoa roho, na wewe ukamtoa roho kwa njia moja au nyingine, hapo tutapima kiwango kama utataka kutumia self defense kama kigezo cha kukutoa kwa kosa
Halafu unakuta hiyo pisi yenyewe sasa butuu hamna ukali wowote, ila fala anaona sawa kutoa roho ya mwanaume mwenzake kisa hiyo mbunya, unaeza kuta kei yenyewe ni chafuu inanuka ...warombo ulevi unawasumbua
Tena wewe utakuwa unafanya kazi ya sheria, wanaovaa suti ni wanasheria na umejiita amicus curiae tena kama ni mwanasheria wa dar utakuwa njaa tupu na bado mademu wanataka kukukamua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.