Recent content by Warioba E. W

  1. W

    JamiiForums Tanzania Serengeti: CCM yajifukia kaburini

    Kebwe asahau ubunge Serengeti, na huyo bwana mdogo Vicent ni mchumia tumbo tu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    warioba
  3. W

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba wajina wangu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shein afanya mabadiliko ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa Zanzibar

    Sisi watanganyika bana, ya kwao hayatuhusu.
  5. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Machale yananicheza, kuna jambo baya hawa watekaji wanataka kumfanyia Dr Slaa halafu story ipachikwe kwa Mtoi. Hivi kuna mtu anaijua sura ya Ludovick aipachike hapa?.
  6. W

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Uchaguzi wa CHADEMA Kitaifa ni Baada ya Uchaguzi Mkuu 2015!

    Heko CDM, haya ndio maamuzi sahihi katika wakati sahihi.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Yaliyoshindwa ya DARUSO 2002/3

    Ni miongo takribani miwili ZZK anaukumbatia USALITI. Hajajifunza tu!.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

    Hawa maraisi ni wachapa kazi, huyu wakwetu kazi yake ni kuzurula tu kila kukicha. Hana mpango mkakati hata sifuri.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    hivi walimkamata yule mtuhumiwa alotajwa na Uli?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    ZZK njoo SAUT unitafutie kesi ya MURDER, nina machungu nawewe. Watu kama wewe huwa wanatupwa kwenye kundi la mbwa mwitu wenye njaa kama yule uncle wake raisi wa North Korea!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    ZZK wakala wa TISS ni bingwa wa mkakati wa kuwateka na kuwatesa watu. Akina Kibanda, Mwangosi na Lwakatare walishamjua siku nyingi.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Hivi kesi gani ambayo Zitto ameshinda? Mbumbumbu wa sheria bana!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Kova huyu ndiye alisema wamemkamata aliyemtesa na kumng'oa kucha Dk Ulimboka. Wenye akili zetu tukajua yule ni chizi na ni dili limepangwa.
Back
Top Bottom