Recent content by Waramba

  1. Waramba

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Yale ya J Yalikuwa Halali yako Unaendekeza sana Njaaa unatekenya Kupima Kina
  2. Waramba

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Wakosoaji hawamtendei haki Paul Kagame

    Anamtetea Mtutsi Mwenzake
  3. Waramba

    JamiiForums Tanzania Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

    Unaota 😀😀
  4. Waramba

    JamiiForums Tanzania Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

    Not in Africa Mappesa
  5. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Sisi vijana hua tunamaamuzi ya Gafla sana na mda mwingi tunajikuta tunahitaji kuwa na Furaha lakni pia tunatakiwa kujua Ruraha ni Gharama na ni Faragha pia
  6. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Tujifunze kupokea maumivu kama tunavopokea mambo yanayotuma Furaha itatusaidia sana ku balance hisia zetu na maisha lazima yaendelee .
  7. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    In case awe amuamua kuishi na kisasi ndani yake never know akaingia kwenye mahusiano mapya akakutana na mapungufu mengine huko unadhan akiamua ku Revenge nini kitatokea huko😃
  8. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Kumuacha mke sio kazi rahisi 😀😀😀
  9. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Akubali matokeo pia nae ajipime ..Hakuna perfectionism ktk mapenz na ndoa kiujumla
  10. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Kuna ms Kuna msamaha hapo😀 ndo yale nmekusamehe lakini sitokusahau
  11. Waramba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Msamehe mkeo kama kwel unampenda maisha yaendelee ..wanaume tupunguze ubinafsi ..pia usihitaji ushauri sana kwa kile unachoona maslahi mapana yako juu yako Take Care.
Back
Top Bottom