Makabila kama Wanyaturu au Warangi co ya kuoa kabisa...Ni wazuri vibaya mno lakini wanatembeza iyo K kinoma
Mama Alishawah kunipa list ya makabila ambayo hatokubali nioe wakiwemo wanyaturu na warangi.
Kama huamini kaoe tutashare wote hiyo K ya mke wako wala hatuteseki arif
Duh u mwaka ndo umenifanya nijue kuwa kuna washkaj masnitch sana...nlikuwa najua washkaji ndo watu wa karibu sana na ukiwa na shida wanakuwa wa kwanza kukusave kumbe ni tofautiii...washkaj wanataka ww uwafanyie kila kitu wao wanarelax af siku ukipatwa na jambo unajikuta umesimama peke yako...
Unapataje ujasiri wa kusema haezi fika popote kwa timu mbovu kama ile? Leonardo Jardim mwenyew kwa uwezo wake alonao kashindwa kupata ushindi kwenye mechi sita za ligi zote kapigwa af unategemea Henry afanye nini!
Nimekutolea mfano na nimekutajia pia kuna Radio Manyara 92.1 na wewe ulivyo muongo unasema eti imefungiwa...labda wewe ndo umeifungia
Napokwambia umekurupuka namaanisha unatoa mrejesho wa ulichokiona sio uhalisia...mimi nimekupa uhalisia wa mji wa Babati
Rudi ukafanye utafiti uje utoe mrejesho...
Usichukie mimi kukuprove wrong unataka kupoteza watu kwa kitu ambacho hukijui...ndo maana nakwambia tena umekurupuka
Hujafanya research yoyote kwa ulichokisema kwenye uzi wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.