Recent content by WANZI

  1. WANZI

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu amekuwa kikwazo kwenye familia hataki kujishughulisha

    Mwambie ukweli na Mungu atakubariki,la sivyo utabeba mzigo wa manung'unuko bure,ukweli humweka mtu huru
  2. WANZI

    JamiiForums Tanzania Waislamu tuko upande wa Rais! Ya Kakobe mpelekeeni Kaisari

    Hawa ndiyo wansojifanya waislam kumbee ni. Magaidi,wanachafua uislam hata dini hawaijui
  3. WANZI

    JamiiForums Tanzania Kwa sura yake ilivyo mbaya, kamwe sitozaa naye.

    Na kwahilo tu wanaume mjifunze wengi mnalea watoto ambao si wenu,chunguzeni sana haiwezekani mtoto wako asifanane hata kucha,hata kidole,hata alama yoyote ya kwako,huyu kawafungulia njia kidogo japo so sana
  4. WANZI

    JamiiForums Tanzania Ukimwi hauonekani kwa macho, namshukuru MUNGU wangu

    Hakika mmenifueahisha sana Leo,mbona mwaogopa hivyo ukimwi ,wakati kuna cancer, kisukari,na mengine meengi watu hawaogopi
  5. WANZI

    JamiiForums Tanzania Ukimwi hauonekani kwa macho, namshukuru MUNGU wangu

    Hahahahahahaaaa!!!unaniua kwa kicheko Rapha,hakika nimecheka sana,pole chukua tahadhari
  6. WANZI

    JamiiForums Tanzania Niliacha Shule ya msingi mwaka 1995(Sunge s/m) na kuanza kusukuma matoroli/mikokoteni

    Duuuh!!!!hongera sana Del,karibuu tena manzese ,mm nafundisha BUSOKA,nakaa senta yamanzese,siku hizi BUSOKA ni kata,yenye shule tatu BUSOKA yenyewe,SUNGE na Kitwana,nimefurahii kusoma story yako nikiwa mazingira haya,lkn BUSOKA tulionayo na manzese siyo kama ile ulioiacha siku hizi imeungana na...
  7. WANZI

    JamiiForums Tanzania Amuua mkewe kwa kukataa kushiriki tendo la ndoa

    Ngoja sasa akakate mauno vzr huko jela,ataridhika ,huku sialikuwa haridhiki??
  8. WANZI

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu: Alinipa mtaji sasa hanipi tena hela ya matumizi

    Hapana si sawa,huyo siyo mwanamme ni mwanaume tu kama wanaume wengine,
  9. WANZI

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ananichanganya sana

    Inahitaji moyo kwa kweli,lkn huyo. Mmmh!!!!!jiongeze hapo anataka hata hizo elfu 5000alizotoa zirudi,binafsi hapana kwa kweli utaugua moyo kwa kumfikiria huyo Mume mwema anatoka kwa Mungu
  10. WANZI

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ananichanganya sana

    Mmmmh!!!!!haikuandikwa hivyo katika KITABU chochote!!!I we Qur'an au Biblia,mwanaume inampasa kumtunza mwanamke,!!!!japo siku hizi ni huo utandawazi,basi walau kushare wote,
  11. WANZI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kike kumalizia maisha yangu yaliyobaki katika mapenzi

    Ndo hivyo makaveli mm ni ndo mwenyewe mwambie awe serious tu
  12. WANZI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kike kumalizia maisha yangu yaliyobaki katika mapenzi

    Makaveli huwa situmii feki mm,ni original kabisa
  13. WANZI

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Huenda hata mama yako alikuwa in single mother babaako angeona hivyo,hata Ww usingezaliwa ,lkn kwa mwanaume umejitahidi japo sijajua kazi yako ,mwanaume WA awamu yatano unapata wapi muda WA kutafiti mambo ya ajabu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. WANZI

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa single parents wote

    Duuuuuu!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom