Recent content by wanyeregete

  1. W

    MSD ndo chanzo cha vituo vya kutolea huduma za afya kukosa dawa

    Duu mkuu nimekupata ila nataka kujua tu majukumu ya kila mmoja katika kuhakikisha mwananchi anapata huduma! Nini majukumu ya mkuu wa kituo, kamati ya afya ya kituo, ofisi ya mganga mkuu wa kituo, MSD na wizara? Kwa uelewa wangu mdogo najua mkuu wa kituo anakazi ya kuandaa mahitaji na...
  2. W

    MSD ndo chanzo cha vituo vya kutolea huduma za afya kukosa dawa

    Naanza kuhisi amekurupuka huyu, kama anania ya kusaidia hao anaowawakilisha ataje kituo na ninavyowafahamu msd kwa kutopenda kero kesho tu wananchi hao anaowatetea watapelekewa dawa na huo ndiyo msaada pekee kwa mzalendo wa kweli.
  3. W

    MSD ndo chanzo cha vituo vya kutolea huduma za afya kukosa dawa

    Habari hizi ni nzuri kwa maslahi ya watanzania wote ila waliokutwa na tatizo hili hawawezi saidiwa kama kiongozi huwezi sema ni kituo gani kimekutwa na hili janga, hiyo itasaidia MSD wafuatilie na kujirekebisha. Nakushauri kitaje hicho kituo ili hatua za makusudi zichukuliwe kusaidia wananchi hao.
  4. W

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    hoja haina mashiko!!!!!! na si wakati muafaka wa kushabikia udini na ukabila.
  5. W

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Zito na Mkumbo, nawapongeza kwa maelezo yenu na huu ndio ukomavu wa kisiasa, maana ukiletewa hoja hutakiwi kukimbia badala yake unatakiwa kukabiliana nayo na ikiwezekana kuijibu ipasavyo. Hapa mmeonyesha mmekomaa na katika siasa haya yote lazima yatokee maana yasipotokea ujue kuna tatizo humo...
  6. W

    Mengi: Ni lazima tuwapeleke baadhi ya watu Milembe kwa nguvu!

    ukweli uko palepale kuwa ulimbukeni umeshika kasi Tanzania, viongozi na watanzania walio wengi wanapenda kutalii nje ya nchi na hili ni tatizo kubwa sana katika uwekezaji. sasa fikiria unakabidhi vitalu vyote kwa wazawa, nje tutaendaje sasa? maana ukitaka kutembelea ofisi zao wawekezaji utaishia...
  7. W

    Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

    As a thinker lakini si mwanasheria kuna haya nimeyaona ambayo Mh. anakiri; anamfahamu binti/mama huyo alishawahi kukutana naye kweli ni mwanafunzi licha ya level alishawahi kumsaidia tena mara mbili alishaachana nae yakujiuliza; unajuaje kuwa huyu ni binti au mama? test makabidhiano ya...
  8. W

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    nina wasiwasi siku wakristu wakikengeuka na kuwa kama "waislamu" hawa wanaomuamini ponda badala ya Allah, kazi itakuwa ngumu kwelikweli. Tuvumiliane jamani.
  9. W

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    hao wanaojiita waislamu kwa kweli wanaleta shida kubwa, Lakini nafikiri tuna usalama wa Taifa na hii ni kazi yao kuzima vituko kama hivi bila kwenda public, au wazee hamupo!!
  10. W

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    hapa kuna shida tena shida au tatizo lenyewe ni kubwa kuliko tunavyolifikiria, kuna kundi hapa linaajenda ya siri.
  11. W

    KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    kaaaaaaazi!!! kwelikweli.
  12. W

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Unajua Zitto huwa simwelewi! ukimwangalia anakuwa kama kigeugeu hivi, anakosa subira na kiongozi mzuri subira, umoja, upendo, busara na heshima kwa viongozi wenzako muhimu.
  13. W

    Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

    hata mimi nimemuona prof kang`ara kweli leo speed yake inatisha!!
  14. W

    Kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Deo Filikunjombe amuumbua Stella Manyanya

    Nikupateje hapo naona nimekupata, kwani umenena vema.
Back
Top Bottom