Recent content by Wantahe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA hupata mafunzo toka wapi?

    Hata la kinondoni lilikwama
  2. W

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa CAG hakistahili kurudiwa tena

    Itakuwa aliitwa ili kurekebisha kauli mbele ya Mkulu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

    Habari ya Mujini Maswali uliyoweka niya muhimu sana, lakini mwandishi gani atauliza? Nani asiyependa kuishi?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hilo jarida/gazeti litafungwa hata kabla ya toleo la kwanza halijawafikia wasomaji wengi
  5. W

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: CCM malaghai, Bunge liagize ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya Shilingi Trilioni 1.5 za Watanzania

    Hoja ni nzuri, ila nani amfunge paka kengere? Ndugai, Tulia, au Chenge?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Baada ya makeup yuko hivyo ni mzuri, je kabla ya makeup yuko je?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Marekani na washirika wake wanapoua raia wa Syria wanawatetea akina nani?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Kwa mtazamo wako, unaona Assad anafurahia Vita? Anafurahia wananchi wake kuuwawa? Anafurahia uchumi wa nchi yake kuporomoka?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Did he start the war? He took oath to defend his country from internal and external enemies..! Yes there is a good number of civilians died in this war, but is there any proof that all of them have been killed by Assad forces only? If not why should he held responsible?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Kila Vita ina gharama zake.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Unapoa tuhuma, unatakiwa utoe ushahidi wa kuthibitisha tuhuma, hiyo ndo hoja ya Assad, kisheria yuko sahihi. Mwandishi kamjazia maelezo ya kusikia na picha za kutengeneza. Those are not evidences are just documents...! You have to know that "not every document is an evidence"
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Za Chama au za Serikali?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kambi rasmi ya upinzani bungeni isisome hotuba zake kwenye Bunge la bajeti

    Hilo lilijulikana hata kabla ya kutekelezwa, ndo maana azma haikufanikiwa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kambi rasmi ya upinzani bungeni isisome hotuba zake kwenye Bunge la bajeti

    Naunga mkono hoja ya kambi ya upinzani Bungeni kutosoma hotuba za maoni mbadala, Uongozi wa Bunge na Serikali havitaki mawazo mbadala, pia hawawataki wapinzani, wanatamani Wawa"eliminate"
  15. W

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Spika Ndugai aeleza sababu ya kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake

    HAKUNA haja ya kusoma hotuba za kambi rasmi ya upinzani kwa sababu uongozi wa Bunge na Serikali havitaki mawazo mbadala.
Back
Top Bottom