Tatizo pia ni mishahara, Mimi niliwahi kupewa ajira ya mkataba wa miezi SITA kwenye shirika Moja la kimataifa na nilikuwa ndo kwanza nimemaliza chuo. Mshahara niliambiwa milioni tatu Kwa mwezi take home, sikuamini. Kila siku nilikuwa nawaza kazi. Kuripoti ni saa mbili lakini Mimi nilikuwa...
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko mpaka nikamaliza la 7.
Nilipomaliza nikipata kazi za ndani mjini, nikaenda kwa huyo mama kufanya u...
Yes, hata Biblia inathibitisha kuwa kifo ni usingizi mzito.
Ayu 18:17 Kumbukumbu lake litakoma katika nchi, Wala hatakuwa na jina mashambani.
Yohana 11:11
11 Kisha Yesu akasema, “Rafiki yetu Lazaro sasa amelala, lakini nitakwenda ili nimwamshe.”
Kwahiyo tumaini Pekee na mwenye nguvu ya...
Kwanza kama huoni mama ana tatizo basi vijana ni WA hovyo kabisa na Tanzania tusahau kuendelea.
Issue hapa sio ugumu wa maisha, maana hakuna siku maisha yamewahi kuwa marahisi.
Mimi mama namchukia kabisa bila unafiki sio tu kisa vitu vimepanda. Ila anaiongoza nchi bila maono yaani mbele...
Japo utafiti wako ni wa kimtazamo na sio data. Na mimi nitachangia kimtazamo. Vijana kwa Sasa wanapambana sana na life na wapo tayari kwa lolote. Wanafanya Kazi hatarishi, wale ambao wamejikatia tamaa, hakuna ajira, wanapata stress na wanaishia kulewa na kutumia dawa za kulevya. Wale wakike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.