Recent content by Wanguzurey

  1. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Nenda kanisani kaombewe rafiki yangu, usimkufuru mungu kwa kuchukua hali yako, wangapi ambao ni walemavu wa viungo vyote!!! Wewe ni ngozi tuu dadaa
  2. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Na huenda alomkiss nayy alikuwa analipa ada pia, so kk asijione amegharamia peke yake
  3. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Acha aende!
  4. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

    Type ya mtu Ndiyo itadetermine!
  5. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

    Yaan dah!! Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
  6. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

    Hongera kwa wivu wa kutaman kujua zaidii
  7. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Kugurungusha[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  8. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    [emoji124] [emoji124]
  9. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kukamulia juice ya miwa

    Weka picha na wengine tuione
  10. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yamejificha nyuma ya uhakiki usiomalizika?

    Sasa wahakiki nao ni Nouma wakali. Kama nn hamna kuelekezwa cha kufanya ukifika sehem ya tukio labda wakuelekeze waliotangulia, na ukikosea tu hata kupanga vyeti tu vinavyotakiwa mtu anagomewa ka ninii
  11. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yamejificha nyuma ya uhakiki usiomalizika?

    Sio mitano tu, sis huku kwetu uhakiki tulianza mwez February had sasa still[emoji124] [emoji124] [emoji124] unaendeleaa
  12. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

    Akothee vipi nae una hakika kapoteaa??!
  13. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

    Nitaisoma baadae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
  14. Wanguzurey

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti kwa watumishi sasa ni kero

    Mpenzi wa mungu!!
Back
Top Bottom