Sasa Le Professori unagawaje bunduki na risasi? Yaani hueleweki, uligawa sim au line au vyote?Kwa vyovyote vile hii kesi kama itaenda mahakamani itakua moja ya kesi rahisi kuliko nyingi za aina hii. Prof. Kwanza ana makosa mengi, kisheria huruhusiwi kutumia SIMCARD ambayo haijasajiliwa kwa jina...
Liverpool FC owner John W.Henry recently tweeted "what do you think they smoke over there at Emirates"? Now I say " What do you think they smoke over there at State House". Is electricity our main priority in our schools,and Hospitals? What about human resources? Do we have enough physicians and...
Haya makao makuu hata yakihamia Somalia au Afghanistan bado Muundo ni ule ule. Kwanza mfumo wa UN (UN charter) ibara ya 17 inatoa fursa kwa wanachama wa kudumu kuchagua mahali pa ofisi za UN. Pili Ibara ya 35 ina masharti ya usalama na mawasiliano ambavyo kwa sasa hata yakititoka NY bado...
Mi ntatofautiana na wewe kidogo mkuu. Maige alikua vepa kama unavyosema lakini tukirudi kwenye ukweli safari hii amejitahidi kutoa ya moyoni japo bado mfumo unamdhibiti ndio maana hakuyasema haya mahali husika (Bungeni). Baada ya misukosuko aliyoipata kisiasa baada ya kua ameharibu, naamini...
Mkuu ishu ilianza jana wakti muswada wa sheria ya kuundwa kwa Bunge la katiba unawekwa mezani tayari kwa wabunge kuchangia. Kama ilivyo kawaida msemaji wa kambi ya upinzai Tundu Lissu alisoma hotuba yake ilieleza wazi jinsi ambavyo mabadiliko ya sheria hiyo ilivyokua imejaa mapungufu. Kwanza...
Tuliowengi humu tunaongea kiushabiki bila kujua kwamba wahanga wa kadhia hii ni mimi na wewe kwa namna moja au nyingine. Kwamza lazima tuujue ukweli kwamba asilimia kubwa ya madawa ya kulevya sio yale yanayokamatwa bali yaliyoko kwenye soko/yanayotumiwa hapa nchini na hata nje. Anayeathirika...
Jamani kwani biashara hii inafanyikia airport tu? Mhe. Mwakyembe hebu waambie coast guard wawe wanasindikiza meli pindi tu zinapoacha bahari ya kimataifa na kuingia eneo la bahari yetu ujionee mwenyewe watu wanavyopiga dili huko boko kwenye bandari bubu. Hapo utawajua sio tu drug Lord bali pia...
Mkuu wa hii Jamhuri alisema wakati flani kwamba anawajua drug Lords& kingpins lakini hadi leo kimya. Mi nafikiri kamwambia mwakyembe atuzuge ili apate la kusema kwani alikua kimya na hata juzi kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi alishindwa aanzie wapi kwa kua ukweli anaujua na biashara hii...
Viongozi wa Tanganyika na Zanzibar ama waitwe mawaziri wakuu au magavana, hiyo itaondoa utata kwenye tafsiri. Mawaziri wa serikali ya muungano wasizidi 8, kwa maana ya waziri katika kila jambo la muungano pamoja na mawaziri wawili wakaazi kutoka kwa washirika wa muungano kila mmoja. Waziri...
Serikali ya ccm bwana, kila anayetoka anaona matatizo ya waliopo. Japo bwana mkubwa alisema anawajua wauza unga lakini naye hajawataja, kwa kifupi biashara ya dawa za kulevya itaendelea kustawi kwa utawala huu wa ccm
Mkuu hilo lisikupe shida sana, labda tu kama ikitokea tume akaamua yenyewe kujichakachua (kwani ndio yenyewe iliyotoa rasimu), japo ni vigumu sana ukiangalia na muundo wenyewe wa tume ulivyo. Ukweli uko hivi, kwanza si kila maoni yote yatawekwa ila yale tu yenye uzito na maslahi kwa ustawi wa...
Kweli mkuu, ngoja tuone pengine mwigulu atakuja na data kwamba waliofanya uhalifu huo ni RedBrigade. Anaweza akapata agenda mpya. Ila pigeni, ueni lakini Chadema ndio mpango mzima kwa mtanzania wa kizazi hiki.
Haya mambo japo yanachukuliwa kama mzaha na watawala wetu lakini ukweli ni kwamba hayatoi picha nzuri ya huko mbeleni. Viongozi wetu wako busy kuonekana wanatutumikia laklini ukweli ni kwamba hawako busy kuwatumikia wananchi.
Usalama ni kitu cha kwanza kabisa kwenye jamii yoyote ile. Hapa...
Hakuna mzanzibari hata wa kusingiziwa atakayekuewa endapo utasema zanzibar iitwe tanzania visiwano, kwa misingi hiyo, japo huku bara ukimtoa mch. Mtikila na kina sisi, walio wengi hawaoni shida kuitwa tanzania bara, ni vizuri na italeta tafsiri ya uasilia wetu kua na zanzibar na Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.