Recent content by wangimarwa

  1. wangimarwa

    Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

    Wote hali ni moja mkuu. Lowasa + kikwete wote mafisad na wote walihusika kwenye mikataba mibovu kama vile Richmond ila badae wakageukana wao kwa wao na ndo maana wengne wanasaka urais kwa hali na uvumba ili walipeze vsas.
  2. wangimarwa

    Taswira ya siasa ndani ya UKAWA

    So mkuu@ Nando@ unauzungumziaje huu muungano wa vyama pinzani yaan UKAWA je vitafikia malengo vilivyojiwekea? Au we unalizungumzia vp?
  3. wangimarwa

    Hii ni vita kati ya Lowassa na Kikwete na sio CCM na UKAWA--NANI MSHINDI?

    Ngoja tuone hii game japo 1995 enzi za mwl.nyerere huyu mheshimiwa alikatwa ila ikumbukwe kuwa hata rais awamu ya 4 mwal.alimkataa pia kwa wakat ule akamwambia subiri kwanza kaka yako mkapa aingie then nawe utafuata. Sasa hii Vita ya sasa ya mmasai na mkwere kaz ipo. Uwanja utakuwa Mdogo mbona.
  4. wangimarwa

    Nukuu za mwalimu Nyerere

    1- watanzania wakikosa kuyaona maendeleo ndani ya CCM watayafuata nje ya CCM. 2-CCM itauliwa na wanaccm wenyewe. 3-Kiongoz bora atatoka ndani ya CCM. 4-Wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM. Swali 1- inamaana watanzani wameyakosa maendeleo ndani CCM? 2-Ndo CCM inauliwa na wenyewe...
  5. wangimarwa

    Taswira ya siasa ndani ya UKAWA

    Ikiwa prof. Lipumba aliungana na wenzake kwenye huu umoja wa vyama vinavyopinga katiba yaani ukawa. Na pia wakaja wakaafikiana kuunga kwa ajili ya kukiondoa madarakani CCM inakuwaje leo anajiuzulu uwadhifa wake wa m/kiti je haoni kama amekiuza chama chake cha CUF? Na kama wenzake wamekiuka...
  6. wangimarwa

    Lowassa aliuza Jimbo la Segerea

    Mbona wapo washawishi wengi2 ndani ya ukawa na kulingana na nukuu ya hlo gazeti kwann wambie mtatiro aliachie jimbo wakati anakunalika na wanasegerea?
  7. wangimarwa

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Sawa bt na wewe una uhakika gani kama hakuiba? Au nawe unachukulia kuwa watanzani ni wajinga au hzo tuhuma anazohusishwa kabambikiziwa na kwann alijiuzulu? Mkuu unachokifanya wewe ni kutaka kuchukua muda mrefu kusafisha kaniki wakat unajua rangi yake tubadilike-sasa
  8. wangimarwa

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Naomba wadau wa siasa tusaidiane hapa, hili jambo linamaana gani kwenye siasa kiujumla hapo inaonesha kuna upinzani wa kimaendeleo au ni upinzani wa maneno kwenye mikutano ya bunge? Inamana gani kumbe kumuita mtu fisad,mlaghai uchumi,mbadhilifu wa Mali za umma,nk halafu leo wanampokea kwa...
  9. wangimarwa

    Hata kama wananchi wanakupenda kiasi gani , namna hii ya kuutaka urais ni kasoro kubwa sana

    Kiukwel ukiliangalia hili swala kwa jicho la kipekee( au kwa jicho la tatu) kwa jins huyu lowasa anavyotafuta urais utagundua kabisa kuwa hana mapenzi mazur na inchi yetu. Hvyo mm naona ni vyema wananch tukawa makini na tuache ulimbukeni tukihurumie kizaz kjacho.
Back
Top Bottom