Recent content by Wangaeli

  1. Wangaeli

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ubungo mahali gani ndugu nitashukuru nikipafahamu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Wangaeli

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Jamani wandugu mimi nina banda tena kubwa tu la kutosha kuku 500 na zaidi but kinachonisumbua ni mtaji nipo maeneo ya tabata chang'ombe naomba kama kuna mwenye kujua wapi naweza kopa vifaranga plz. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Wangaeli

    Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

    Sasa mbona kama barua yenyewe in ya kibaguz kizungu sijui ila nimeona black people wamemaanisha nn hapo si ubaguz huo
  4. Wangaeli

    Korea kaskazini yaionya Marekani kuhusu kusogelea pwani yake

    Jamani kila siku emmanueli tv wanarudia juu ya utabiri wa TB JOSHUA kwamba korea ya kaskazini sio wa kuwazarau wana silaha kali ambazo dunia haijui na kwamba huenda akazitumia na kama wakizitumia basi inaweza kuithiri dunia au sehemu ya dunia so kaomba watu waombe sana kwa ajili ya hilo lisije...
  5. Wangaeli

    Je, Kikwete ndiye Rais mbovu katika historia ya Tanzania?

    Uozo unaofanyika katika awamu hii ni matunda yake ni juhudi zake yeye ndo katulazimishia huyu mtu.
  6. Wangaeli

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Usilolijua ni usiku wa giza usimuhukumu kama humfatilii na usimuhukumu kwa kusikia maneno kwa watu
  7. Wangaeli

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Mama kapewa ile kwenye gazeti wanaita front page sasa yeye kapewa front chair akiwa kama first lady mtarajiwa THE MAN OF GOD KNOWS WHO IS SHE ndo maana kampa kiti cha heshima GOD Bless her and our president mtarajiwa LOWASA.
  8. Wangaeli

    Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Mimi mwenyewe kila siku nakunywa namshaur kitu ambacho mimi mwenyewe nafanya
  9. Wangaeli

    Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Dawa ni maji only hivyo vingine ni kupoteza hela tu mm mwenyewe nilikua nayo tena sugu kila mara haupiti mwez naumwa nilipo kuja pata ushauri wa kunywa maji ndo sijaisikia tena mpaka leo Kunywa lita 1.5 asubuh unapotoka kuamka then lita 1 mchana by saa 6 or 7 na jioni kwenye saa 12 au 11...
  10. Wangaeli

    Utabiri wa T B Joshua uko sahihi, Clinton kashinda ila hajachaguliwa

    Hata kipindi cha YESU wapo walomwelewa YESU na wapo ambao hawakumwelewa japo alifanya ishara kibao na mpaka wakaamua kumsulubisha na kuna wanosoma wakaelewa na kuna wanaosoma na wakaambulia patupu so jitazame uko kundi gani.
  11. Wangaeli

    Utabiri wa T B Joshua uko sahihi, Clinton kashinda ila hajachaguliwa

    Je kama kweli ulihitaji kujua ukweli baada ya kuona kakosea utabir wake je ulimfuatilia tena kujua anachosema au mnahukumu kwa kisikiliza maneno ya uongo mitaani ya wenye chuki zao binafsi. Mfuatilien mbona alilifafanua vizur sana
  12. Wangaeli

    Utabiri wa T B Joshua uko sahihi, Clinton kashinda ila hajachaguliwa

    Alichosema ATTEMPS TO POSSIBLY PASS VOTE OF NO CONFIDENCE ON THE NEW PRESIDENT. A BOAT OF A NEW PRESIDENT WILL BE ROCKED
Back
Top Bottom