Recent content by Wang Yi

  1. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Yanga SC 3-0 Azam FC | Amani Complex | 24/6/2026 | Yanga wanaukalibia ubingwa

    Baada ya mechi za msimu kumalizika yanga inabidi ifanye usajili wenye tija. Wachezaji wengi wameizoa timu na wanacheza kwa mazoea sana. Ubunifu na kujituma vimepungua sana kwa wachezji wengi wa Yanga. Pia kuna wachezaji mizigo hasa hawa waliosajiliwa hvi karibuni kama Depu na Damaro.
  2. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Sioni sababu watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara

    Amri ya vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kuua watanganyika ilitoka kwa nani kama siyo kwa amiri jeshi mkuu? Na mpaka huyo amiri jeshi mkuu anatoa hiyo amri hakuwa na hizo taarifa za kutosha hadi sasa aunde tume? Tangu lini muuaji akaunda tume ya kuchunguza chanzo cha mauaji aliyoyafanya...
  3. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania CIA HUWA HAWABISHIWI. UKISHINDANA NAO BASI KABURI LITAKUHUSU

    Kwa mtanganyika kuwabeza CIA ni matumizi mabaya ya akili. Wanaobeza wanadhani CIA lazima awe mmarekani aje aishi Tanganyika ndio apate taarifa. Kwa taarifa tu ni kwamba kuna CIA Agents wengi tu hapa Tanganyika tangu nchi ilipopata uhuru na Serikalini wapo kibao usijeshangaa hadi makamu wa sasa...
  4. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania FT: FAR Rabat 1-1 Mamelodi Sundowns | CAF Champions League Final | Prince Moulay Abdellah Stadium | Mamelodi yatwaa ubingwa | (2-1) Aggregate

    Haya mamelodi yapigwe tu hata goli tano na ASFAR maana walichotufanyia sisi Young Africans bado hatujasahau😃😃
  5. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kawe-Dar mkabala na nyumba mpya za NHC kuna taka zimerundikwa wiki mbili sasa haziondolewi, zina harufu kali

    Bado nchi hii tunahangaika na uzoaji wa takataka tu mpaka leo? Sisi waafrika aliyetuloga alituweza maana uwezo wetu wa kutatua changamoto ndogo kiasi hicho bado ni tatizo la jamii katika karne ya 21. Bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo ya kweli.
  6. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo mengi ya Bunju tunakabiliwa na changamoto ya taka kurundikwa kwa muda mrefu bila kuzolewa

    Bado nchi hii tunahangaika na uzoaji wa takataka tu mpaka leo? Sisi waafrika aliyetuloga alituweza maana uwezo wetu wa kutatua changamoto ndogo kiasi hicho bado ni tatizo la jamii katika karne ya 21. Bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo ya kweli.
  7. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania KERO Milima ya taka inatupa hofu ya mlipuko wa magonjwa Wakazi wa Buza, Temeke

    Bado nchi hii tunahangaika na uzoaji wa takataka tu mpaka leo? Sisi waafrika aliyetuloga alituweza maana uwezo wetu wa kutatua changamoto ndogo kiasi hicho bado ni tatizo la jamii katika karne ya 21. Bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo ya kweli.
  8. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania Tani 100 za taka zinavyobaki mitaani Morogoro

    Bado nchi hii tunahangaika na uzoaji wa takataka tu mpaka leo? Sisi waafrika aliyetuloga alituweza maana uwezo wetu wa kutatua changamoto ndogo kiasi hicho bado ni tatizo la jamii katika karne ya 21. Bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo ya kweli.
  9. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna miujiza kwenye mafanikio. Njoo tujadili hapa!

    Kuna watu wengi sana hapa duniani wanafanya kazi au biashara kwa bidii na maarifa na nidhamu ya fedha ya juu lakini hawajatoboa na wengine uzeeka na kufa bila mafanikio makubwa sana. Ingekuwa ni rahisi tu kufanikiwa kwa kufanya hvyo vitu simpo mnavyosema humu tungekuwa na matajiri wengi sana...
  10. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO hivi ni Kwanini units za umeme wa Luku sasa hivi zinaisha kwa haraka kuliko zamani?

    Watanganyika tuwe macho tunawezakuwa tunalipia bili za wazanzibari bila kujua maana utawala wa huyu mama ni Zanzibar kwanza Tanganyika baadae.
  11. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume inapendekeza kufanyika uchunguzi tukio la wanaodhaniwa kuwa askari kuua watu 13 kwenye kibanda cha video Mwanza

    Nani ana kombora la rocket aniazime nikamalize kazi? Maana nimepata hasira kali sana leo.
  12. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Veta kuunganishwa na Elimu ya Sekondari

    Kwa nchi yetu hii hili suala ni gumu sana kutekelezeka. Japo kisiasa wanaoliona ni rahisi na ndio maana wamekuja na maono ya ELIMU YA AMALI (ambayo ndio unayoisema hapa) lakini kiuhalisia ni ngumu sana. Mi naona ni bora waongeze vyuo vya technical na VETA na waviwezesha karakana na mashine/zana...
  13. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Tangu lini snipers wakaonekana. Sema ni kwa vile town lakini ingekuwa huko bush polisi wanatupa bunduki zao na kukimbia kokoa maisha yao. KAULIZE HUKO TARIME WALICHOFANYIWA POLISI WENU WALIPOPELEKWA KUZIMA VURUGU HUKO TARIME. WALITUPA BUNDUKI NA KUKIMBIA.
  14. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Poleni mliopata sintofahamu kutokana na baadhi ya mitandao kuandika nimefiwa na Mama Mzazi

    Nasikia Abdul wa mama kizimkazi naye amenusurika kutekwa usiku wa kuamkia leo :D :D
  15. Wang Yi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

    Upupu uliojaa vumbi. Kumpa huyu uwaziri mkuu ni kuliabisha taifa la Tanzania maana anajulikana toka kitambo kwamba hazimtoshi. Tunajua amewekwa kenye hiyo nafasi si kwa sababu ana uwezo kiutendaji bali kuwarahisishia mabwana zake uporaji wa rasilimali za nchi kwa raha zao. KWANZA SERIKALI YAO...
Back
Top Bottom