Recent content by wanas

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

    Ninachofahamu Huyu ni MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA so sometimes anauvaa Upolisi na Muda mwingi anashinda na u Jwtz so yupo right.IGP ana report kwa CDF/anawajibika kwa CDF na ndiyo Maana ikitokea Mission ngumu CDF huchanganya Wafia Chama Tawala na watekeleza ya Chama na wote wanaenda...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

    Samahani,Kwa ufahamu wangu mdogo mi naona hao wote ni watu wanaosimamia masuala yahusuyo watu,tunachokihitaji wananchi ni kuishi Kwa uhuru usawa na haki.Pia Senior Officers of the army ndo wenye Mandate ya Kufanya Press conference na yeye akiwemo kwenye senior officers/yaani ni mmoja wao.Na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    Mmmh Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    JamiiForums Tanzania Young D -kiutani utani

    FURSA;Wadau naombeni Ushauri ili namimi nitusuee.Naanza, Diamond ana Brand ya Karanga,,Idd Brand ya Viatu,na wengine kibao wenye fursa za Mfumo huu.Naombeni Ushauri nifanyeje kuyapaki Mahindi ya Kuchoma ili iwe Brand yangu na Mimi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajali ya mtu binafsi tunataka kuifanya kama jambo la kitaifa?

    Mi naona leo kunakuwa Uzi wa kuwabana CDM na siku nyingine kunakuwa na uzi wa kuwabana CCM.Basi mi naangaliga tu halafu nacheeka.Ila NEO-COLONIALISM,yaani DIVIDE and RULE system ya Watu Weupe haitawaacha Salama. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom