Recent content by Wana wa Asafu

  1. Wana wa Asafu

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Woote mnaomtaka mdee mmeishiwa mipango mnaenda tu kama ngombe asiye na mchungaji
  2. Wana wa Asafu

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Kweli kabisa halima ameshindwa kutekeleza aliyotuahidi Na sasa kura zetu hatumpi tena
  3. Wana wa Asafu

    Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Naunga mkono hoja Sisi tunasimamia mahala ambapo pana ukweli
  4. Wana wa Asafu

    Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Sisi tumekwenda ccm kwa sababu hatujaenda kuuza sura kule tumeona mambo anayotufanyia magu ni mazuri Na hata gwajima usishangae yy kuwa ccm
  5. Wana wa Asafu

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Kumbe na wewe umeonae safar hii tunaenda na gwajima
  6. Wana wa Asafu

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Naunga mkono hoja kwa sasa hatukubali kutapeliwa tena miaka kumi imekutosha
  7. Wana wa Asafu

    GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Halima mdee mpaka hapo sisi wanakawe tumeshakuchoka kabisaa. Usitegemee kura zetu tena kwako
  8. Wana wa Asafu

    Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

    Hahahajah kwani unateseka Pasukaa
  9. Wana wa Asafu

    Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

    Gwajima hawezi kufanana na wewe Hata ukigombea hupati hata namba moja ya kura za watu Achana na gwaj boy huyo sio type yakoo
  10. Wana wa Asafu

    Hivi ni lini Gwajima alikoenda CCM na kadi alipata lini?

    Hapo ulipo bado mtoto mdogo saaana subir ukue ndo uje kwenye uwanja wa mapambano Sisi wakubwa ngoja tuende na gwaj boy
  11. Wana wa Asafu

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Wewe unaongea pumba kama hupendi maendeleo hama kawe usituungamanishe na mdee bibi mwongo yulee balaa
  12. Wana wa Asafu

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Nenda kajipange huna mada wewe Umekaa unaandika na mishipa imekutoka kama mwarubaini
  13. Wana wa Asafu

    GE2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

    Basi wewe nenda na mdee maana naona ndo kitukuu chake
Back
Top Bottom