Recent content by Wamweru

  1. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

    Hoja mbovu kabisa Kwani pesa zinazoibwa katika Halmashauri na miji hazipitishwi na Bunge?
  2. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Magufuri alikuwa mtu wa kusamehe sana maana zile sauti za kina membe , January Makamba na Nape ni kesi ya uhaini tosha lakes ni akawasamehe.
  3. Wamweru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Hao ni wengi sana mkubwa uku mtaani ni aibu sana kinachofata ni kama mwaka ule tulipoanza kuwapiga mawe wavaa kijani
  4. Wamweru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Nako mtaani ni njaa tu za watu ndugu yangu ila Hali sio na ki ukweli utaona uchaguzi utakavyokuwa mwaka huu.
  5. Wamweru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Nyomi wapi uku Gongolamboto watu walisafirishwa na mabasi ya kukodi na wenye mabasi walipata pesa za Kodi zetu.
  6. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Swala no kwenda kupiga kura tunakaa ndani wanaenda wao Kisha nchi marafiki wanaotoa misaada wataingikia kati maana watanzania na polisi maskini hawawezi kufanya kitu
  7. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu yangu mazito na yenye hoja nzito kujibu hotuba ya Askofu Gwajima iliyotolewa Agosti 25, 2025 Usiku

    Pumbavu Tena na Tena hujui maumivu ya watu wewe kungekuwa na wadhamini wa mtutu hapa Tanzania Leo hisigekuwa hivi. Nawajua unaowatetea na nimeishi nao na kula nao zaidi ya miaka 30 kuanzia huyo kikwete na huyo Rostam,kaa kimya ni swala la Muda tu
  8. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Polepole ashitakiwe kwa uhalifu huu, kama anachosema ni kweli

    Ungemsikiliza Polepole vizuri ungemwelewa mfumo hauna shida shida ipo kwa wanaoushika sasa,maana SMG ni silaha Haina shinda kama matumizi na mtumishi kichwa kimetulia lakini akishika kichaa hapo ndio shida inapoanza.
  9. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mrisho Mpoto ni mjinga kiasi hiki

    Ukitaka kujua upumbavu na ujinga wa Mpoto muulize Mgunga wa myeyelwa (atanisamehe kama nimetaja jina lake vibaya) maana ndio watu waliomlea huyo mpumbavu na mjinga.
  10. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Mkubwa mkubwa mkubwa nchi za ulaya Kuna majambazi walisamehewa kifungo au kupunguziwa miaka ya kifungo kwa sababu ya kukili makosa Yao na kukubali kushirikiana na Police.
  11. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Kuwa jambazi haizuii wewe siku Moja kutibu na kuwataja majambazi wenzako na ndio maana amesema kuwa anaomba msamaha kwa watanzania na pili mfumo huo ni mzuri kwa watu wazuri na ni mbaya kwa watu wenye Nia ovu,sio kila mtu anaruhusiwa kuwa na silaha za kivita mpaka uwe umepitia mafunzo na Bado...
  12. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Nikipata nauli alimwibua aliyemkaribisha anaitwa Ilene Sanga
  13. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Huyu jamaa sijawahi mwelewa tangu alipomnyanganya Ilene Sanga wimbo wa Nikipata nauli.
  14. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Lakini Korea Kuna maendeleo makubwa sana Tena sana huwezi kufananisha na Tanzania viongozi wao pamoja na kuwa madikteta ila wanalwta maendeleo makubwa sana angalia uchumi wao
Back
Top Bottom