Hakuna lolote za kusema kuwa zitto kajitungia! toeeni maelekezo ya kina! LISSU angalia sana kwamaana watanzania wanania moja nawe sasa usionyeshe majungu na kumponda mwenzako wewe ni mtu makini sana hivyo angalia umakini wako usijeukatoweka kwa ushabiki wa mbowe! kwanini huyo mbowe anataka...
Binafsi napenda kumpongeza sana tena sana mh Zitto kwa kauli zake zenye Hekina na Busara ! Huu ndo uongozi na umakini unatakiwa kwa kila kiongozi mwenye maadili ya utumishi wa umma! Taarifa yake nzuri sana hivyo kuwa mtu mwenye subra huizi ni changamotto tu cha wachache wanaotaka kuvuluga chama!
Ni jambo la kushangaza sana kama unaona watanzania wanazidi kushabikia maovu ya viongozi badala kuwa kitu kimoja na kuweza kutengeneza agenda ya kuweza kutatua na kuwaondoa wabovu wanaosababisha nchini hii na raia wake kuitwa masikini!
Siku zote tunaambiwa kuwa kiongozi makini na anaye jali anaoongoza lazima ajue na atambue wajibu wake katika jamii! hivyo kweli kabisa kaka Zitto ni mmoja klati ya viongozi walio makini na wanaotambua wajibu wao katika jamii wanayoiongoza! mimi nakutakia kila la kheli katika ziara yako izae...
Swala la posho ni swala ambalo kwa mtu makini ambaye anajua anachokifanya as Zitto huwezi kushabikia kwamaana unatambua kuwa uko kwaajili ya uwakilishi wa wananchi na sio wa taifa lingine bali taifa lako nawe ni mzawa wa taifa hilo !, na si jambo jema la kupokea posho kwa kazi unayofanya wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.