Recent content by Wamisako 1

  1. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania TANESCO mmetusahau Dodoma?

    kweli hili ni taahira hata alijielewi.. maskini tanzania raia wake uelewa wao ni mdogo nno
  2. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Leo umeme wametuachia, vipi ulipo upo?

    Nilpo wamechukua sasa hivi
  3. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

    hii tanzania inakoelekea hata maji yetu ya mito na maziwa wataanza kuuziwa
  4. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Arsenal wanatisha

    basi lipi aisee au zile tatu za fasta zilivuruga ubongo wako
  5. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Arsenal wanatisha

    Kama arsenal wangelikua makini leo hii wangeweza kurudisha zile goli nane walizofungwa kimazabe na manchester utd
  6. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya wa VodaCom, Tuwakatae!

    voda ni matapeli wakubwa hapa tanzania
  7. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Nauza Lumia 520

    bei gani
  8. Wamisako 1

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda mkera mpaka mnatia kinyaaaa ikifika saa mbili usiku kununua kifurushi cha data ni shinda unafuata njia zote ukiangalia salio alijakatwa unaweza ukamaliza lisaa lizima unaunga tu na wasikuunganishe kabisaa hadi kesho yake...
Back
Top Bottom