Ni kweli kwamba kwa radar moja iliyopo hatuna uwezo wa kuona anga lote kwa njia ya ‘’radar’’.
Radar inasaisaidia pamoja na mambo mengine kuona objects zikiwa bado ziko mbali sana, kusaidia kuwe na muda na space ndo kati ya ndege na ndege na mambo mengine ya kisasa ofcourse.
Lkn haimanishi pasipo...
Naomba niwe tofauti na watumishi wengi, ni ngumu kumeza lkn tuwe wakweli na kama mwenye data atusaidiae. Kwa miradi mikubwa inayofanywa na kwa kiwango cha upungufu wa hela za wahisani sioni ni wapi JPM tunataka apate pesa za mishahara. Mradi wa Stiglers gorge ni 6-7T sio B, ndege za ATCL, ujenzi...
Hata kama tunapenda kusikia mabaya ili tuamini utendaji wa mtu lkn ni muhimu akili yetu ifanye kazi kidogo. International Airports hapa TZ sio JNIA tu, Ipoh KIA na Zanzibar pia.
Ndege kuruka kwenye anga la nchi bila kibali si jambo jepesi kihivyo, kuna hatari kubwa mbili za kiusalama (safety and...
Mawazo dhaifu sana, nimeoa na ninaye mwaka wa tisa sasa na ndo iko bomba sana. Tatizo vijana (kike na kiume) hawana skills za ndoa (human behavior).
Dunia imechukulia ndo kama kitu simple, ndo inahitaji vijana wewe na right skills.
Kama hauenjoy ndoa yako, jua wewe na mwenza wako hamna right...
Wakristo wapi maana sie kwa dhehebu letu kula nyama au kutokula any day haina issue. Labda ungesema wakristo wa madhehebu ya kikatoliki na kiprotestant (Lutherani, Anglican etc )
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.