Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,428
- 4,219
Swali langu linatokana na mshangao wa Raisi wetu wakati wa ufunguzi wa mradi wa umeme. Mimi ni muuliza swali huru na kwa kuwa ni mwananchi wa kawaida naweza kuwa nawakilisha wengi wenye swali linalofanana.
Mimi mwananchi nataka kujua je ni kweli na inawezekana kwenye mbuga ya selous kuna ndege zinatua na kuondoka bila mamlaka na security ya nchi kujua? How possible?
Ni ukweli waziri wa maliasili wala wa fedha hajui mapato ya wawekezaji waliojichimbia kwenye hifadhi yetu?
Kama ni kweli tunakwama wapi kama nchi maana dunia nzima sina uhakika kuna nchi ndege zinaweza tua na kuondoka bila mamlaka kujua.