New Africa yabadili jina kwenda Four Point by Sheraton. Mwekezaji kalipa au yale yale ya kubadili majina kukwepa kodi?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana jf.
Nadhani New Africa ni hotel yenye ubia na serikali. Hivi majuzi imebadili jina na kufanyiwa renovation kubwa . najiuliza haya mabadiliko sikuwahi kuyaona kwenye gazeti lolote yakitangazwa. Pia kujua shea zetu zipo ngapi na faida gani tunapata? Mahotel mengi ya serikali yalibinafsishwa lakini yamegeuka magofu . mengine yakiendesha biashara yao kimya kimya kama vile bahari beach. Haya mahotel Rais wetu ayachunguze uenda tunapoteza pesa kama tiliyokuwa tunapoteza kipindi cha celtel kwenda airtel bhart.
 
Check
 
Attachments

  • 1566367150601276389247.jpg
    1566367150601276389247.jpg
    74 KB · Views: 29
Mambo ya corporate tax na capital gain tax na Tanzania wapi na wapi?.

Barrick Gold aliingia Tanzania kama Barrick, akajigeuza kuwa ABG sisi tulipata nini?. ABG akajigeuza Acacia, tulipata nini, sasa Acacia amenunuliwa na Barrick, mauziano ni London, huku yanaletwa makaratasi, no corporate tax no capital gain, no nothing!.

TTCL ilimegwa kuanzisha Celtel, ikajigeuza Zain, sasa ni Airtel what did we get?!.

Sheraton ilijigeuza Mövenpick, ikajigeuza tena na sasa ni Serena, tulipata nini?

Kilimanjaro ilikuwa Kempinski sasa Hayatt Regency, what did we get?.
P
 
Wana jf.
Nadhani New Africa ni hotel yenye ubia na serikali. Hivi majuzi imebadili jina na kufanyiwa renovation kubwa . najiuliza haya mabadiliko sikuwahi kuyaona kwenye gazeti lolote yakitangazwa. Pia kujua shea zetu zipo ngapi na faida gani tunapata? Mahotel mengi ya serikali yalibinafsishwa lakini yamegeuka magofu . mengine yakiendesha biashara yao kimya kimya kama vile bahari beach. Haya mahotel Rais wetu ayachunguze uenda tunapoteza pesa kama tiliyokuwa tunapoteza kipindi cha celtel kwenda airtel bhart.
Comments na heading haviendani, nimeshindwa niweke post ipi itakayokusaidia kuelewa haya mambo ya majina ya makumpuni/biashara kubadilika
 
Tuwape lawama ccm na serikali zake?
Mambo ya corporate tax na capital gain tax na Tanzania wapi na wapi?.

Barrick Gold aliingia Tanzania kama Barrick, akajigeuza kuwa ABG sisi tulipata nini?. ABG akajigeuza Acacia, tulipata nini, sasa Acacia amenunuliwa na Barrick, mauziano ni London, huku yanaletwa makaratasi, no corporate tax no capital gain, no nothing!.

TTCL ilimegwa kuanzisha Celtel, ikajigeuza Zain, sasa ni Airtel what did we get?!.

Sheraton ilijigeuza Mövenpick, ikajigeuza tena na sasa ni Serena, tulipata nini?

Kilimanjaro ilikuwa Kempinski sasa Hayatt Regency, what did we get?.
P
 
Wana jf.
Nadhani New Africa ni hotel yenye ubia na serikali. Hivi majuzi imebadili jina na kufanyiwa renovation kubwa . najiuliza haya mabadiliko sikuwahi kuyaona kwenye gazeti lolote yakitangazwa. Pia kujua shea zetu zipo ngapi na faida gani tunapata? Mahotel mengi ya serikali yalibinafsishwa lakini yamegeuka magofu . mengine yakiendesha biashara yao kimya kimya kama vile bahari beach. Haya mahotel Rais wetu ayachunguze uenda tunapoteza pesa kama tiliyokuwa tunapoteza kipindi cha celtel kwenda airtel bhart.
Mkiambiwa mvinyo niuleule chupa tofauti hamuelewi nambado
 
Mambo ya corporate tax na capital gain tax na Tanzania wapi na wapi?.

Barrick Gold aliingia Tanzania kama Barrick, akajigeuza kuwa ABG sisi tulipata nini?. ABG akajigeuza Acacia, tulipata nini, sasa Acacia amenunuliwa na Barrick, mauziano ni London, huku yanaletwa makaratasi, no corporate tax no capital gain, no nothing!.

TTCL ilimegwa kuanzisha Celtel, ikajigeuza Zain, sasa ni Airtel what did we get?!.

Sheraton ilijigeuza Mövenpick, ikajigeuza tena na sasa ni Serena, tulipata nini?

Kilimanjaro ilikuwa Kempinski sasa Hayatt Regency, what did we get?.
P

It's not like hatujui kua this is happening, tunajua vizuri, serikali inajua vizuri toka zamani sana, ila no one does anything about it.
 
Wana jf.
Nadhani New Africa ni hotel yenye ubia na serikali. Hivi majuzi imebadili jina na kufanyiwa renovation kubwa . najiuliza haya mabadiliko sikuwahi kuyaona kwenye gazeti lolote yakitangazwa. Pia kujua shea zetu zipo ngapi na faida gani tunapata? Mahotel mengi ya serikali yalibinafsishwa lakini yamegeuka magofu . mengine yakiendesha biashara yao kimya kimya kama vile bahari beach. Haya mahotel Rais wetu ayachunguze uenda tunapoteza pesa kama tiliyokuwa tunapoteza kipindi cha celtel kwenda airtel bhart.
Kama serikali imeruhusu New Africa kubadili jina itakuwa pia imeruhusu kubadili historia ya Tanganyika, hoteli hii kama ilivyo ikulu ilijengwa na wajerumani na iliitwa Kaiser hoof kama sijakosea, na serikali baada ya Uhuru iliruhusu kufanyiwa ujenzi ila sura yake iwe ilileile na imo kwenye vitabu vya historia ya nchi yetu. Naomba serikali isikubali jina la Africa liondolewe waache waiite vyovyote vile ila Africa iwepo kulinda historia yetu inawezekana kuiita Four Point by Africa.
 
Kivipi tunalinda kisicho cha kwetu hapo.
Naona hoteli hiyo ni historia ya wajerumani
 
Yaani kwa sasa hatuna chetu. Suramanda ilibomolewa. New Africa ndio hivyo. Obama road. Old bagamoyo. Kwa nini hatudumishi vyetu?
 
Mambo ya corporate tax na capital gain tax na Tanzania wapi na wapi?.

Barrick Gold aliingia Tanzania kama Barrick, akajigeuza kuwa ABG sisi tulipata nini?. ABG akajigeuza Acacia, tulipata nini, sasa Acacia amenunuliwa na Barrick, mauziano ni London, huku yanaletwa makaratasi, no corporate tax no capital gain, no nothing!.

TTCL ilimegwa kuanzisha Celtel, ikajigeuza Zain, sasa ni Airtel what did we get?!.

Sheraton ilijigeuza Mövenpick, ikajigeuza tena na sasa ni Serena, tulipata nini?

Kilimanjaro ilikuwa Kempinski sasa Hayatt Regency, what did we get?.
P
Nadhani haya mapicha picha Baba wa Magogoni atayasimamia. Sijui tumpe muda gani maana wajanja hawa wanatuchosha mno
 
Wana jf.
Nadhani New Africa ni hotel yenye ubia na serikali. Hivi majuzi imebadili jina na kufanyiwa renovation kubwa . najiuliza haya mabadiliko sikuwahi kuyaona kwenye gazeti lolote yakitangazwa. Pia kujua shea zetu zipo ngapi na faida gani tunapata? Mahotel mengi ya serikali yalibinafsishwa lakini yamegeuka magofu . mengine yakiendesha biashara yao kimya kimya kama vile bahari beach. Haya mahotel Rais wetu ayachunguze uenda tunapoteza pesa kama tiliyokuwa tunapoteza kipindi cha celtel kwenda airtel bhart.
Hiyo si brand name tuu? Kampuni bado BRELA itakuwa na jina lake. New Arusha Hotel nayo inaitwa hivyo kwenye kutangaza huduma zake
 
Yaani kwa sasa hatuna chetu. Suramanda ilibomolewa. New Africa ndio hivyo. Obama road. Old bagamoyo. Kwa nini hatudumishi vyetu?
Chimbuko la new Africa hotel ni kujengwa na ujerumani. Sisi tukaja tuu kutaifisha tuu.
Mtu yeyote akisoma historia hiyo anaona mjerumani ndio anajivunia historia hiyo zaidi yetu sisi
 
Back
Top Bottom