Recent content by wamaisha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Driving school nzuri kwa Dodoma?

    kwa anajua shule nzuri ya udereva kwa dodoma atujuze maana kuna vijana wawili wanatakakujiunga ila hawajui ipi shule bora kwa dodoma? maeneo gani na gharama zao? pia mawasiliano kama yapo muhimu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Aina ipi nzuri ya Digital camera nitapata kwa bajeti ya laki na nusu?

    aya mkuu nimekuelewa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    okay, understood
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    msamehe, hajielewi huyo dadaangu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    umenikumbusha machungu ya bumu langu, niliwahi kutoa laki2 then within two weeks penzi likaisha!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    ok, thanks girl, so do you mean 'no money no love in higher learning'?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    nisaidie strategies za higher learning
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    ha ha ha! acha misemo bhana
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    ha! ha! ha! siwezikukustukia bhana. yawezekana lakini ntakuchek pm
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    inawezekana lakini maana kuna binti nilimtokea akasema anatoka na lecturer ivyo akanambia ananipenda lakin hatak kuniharibia future
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    Honestly, sina hela!
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    Namwitaji mmoja ila awe the most beautiful, matumizi ya wingi ni kutokana naukweli kuwa huwanatupa swaga kwa mmoja akizungusha natupa kwa mwngine japo kwa wote hao sjapokea direct NO
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au nini jamani?

    inawezekana lakini, kama kuchuja ndo ndo ivi bas hatari! inawezekana nikawa au nisiwe, jina langu linaanza na GO......
  14. W

    JamiiForums Tanzania Aina ipi nzuri ya Digital camera nitapata kwa bajeti ya laki na nusu?

    kamera nzuri nawezakupata kwa sh. ngapi?
Back
Top Bottom