kwa hiyo bei huwezi kupata camera nzuri ya digital sanasana utapata zile clone za samsungnaomba mwenye uelewa na digital kamera anisaidie, nina 150,000/=. je ni aina gani nzuri. nipo dodoma, kwa dodoma duka gani wanauza kamera zenye ubora, ata kwa dar kama kuna mtu anafahamu. shukrani wapendwa
kwa hiyo bei huwezi kupata camera nzuri ya digital sanasana utapata zile clone za samsung
asante kwa msaadaKuna professional camera na handheld Camera.
Sasa inategemea na matumizi yako. kwa hizi za kawaida handheld nzuri uwe na takriban 350,000/- kwa ujumla ukubwa wa pixel sio ubora wa camera. camera inawezakuwa na megapixel 7 na ikatoapicha vizuri kuliko camera yenye megapixel 10.
asante kwa maelezo mazur
Camera original za olympus, samsung, canon, na sony zina ubora.
Kuna professional camera na handheld Camera.

150000=Yashica