Recent content by walya

  1. walya

    JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Tunavumilia hivyo hivyo kiongozi mimi niliweka kumi kila mwaka navuna m mmoja
  2. walya

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    😂😂 😂 😂 nadhani alimwambia na bwana wake mzazi
  3. walya

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Hahahahaha kiongozi ni shida bao moja tu unawaza huyu nimpe 30 kweli nilishawahi kuacha jeans gesti niliona jeans ilishaisha demu nimemuhaidi 40 nikasema ngoja nikachukue maji nje nikavaa pensi na siglendi ndio ikawa mazima kesho yake nikanunua jeans 25 tshirt 15
  4. walya

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Hahahaha nao waga mtihani ukifika home lazima ujicheki umechubuka au laaa
  5. walya

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UBORA WA ELIMU inayotolewa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) unatia shaka

    Noted blood kuna mtu unaweza kumtukana bure
  6. walya

    JamiiForums Tanzania Ukisoma bachelor ya Account na Business Administration in Accounting kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili?

    Ok kiongozi open university ili niendelee kuokota na maokoto
  7. walya

    JamiiForums Tanzania Ukisoma bachelor ya Account na Business Administration in Accounting kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili?

    samahani wadau naomba kuuliza mtu akisoma BACHELOR DEGREE OF ACCOUNTING NA BACHELOR DEGREE OF BUSINESS ADMINISTRATION IN ACCOUNTING kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili
  8. walya

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Mi milioni kumi napata kama laki na kitu kila mwezi
  9. walya

    JamiiForums Tanzania Tuition Open university

    Ndio utaratibu wa chuo kikuu huria unajisomea kwahiyo ili kufaulu vizuri ndio unapata watu kama hao wanaofundisha ili utoboe vizuri
  10. walya

    JamiiForums Tanzania Benki ya NBC yazindua hati fungani ya NBC Twiga Bond riba 10% kwa miaka mitano

    Kiongozi hapa mtu aliyeweka UTT AMIS na huyu ambaye ataweka huko NBC mfano milioni kumi kuna utofauti kweli
  11. walya

    JamiiForums Tanzania Ana mshahara wa 650000 anataka kuchukua mkopo

    Cha kwanza ni kujua Bank anayotaka kukopa inatoa mkopo kwa asilimia ngapi? Mfano Bank x inatoa mkopo kwa asilimia 12% Mimi nachukua milioni 40 mshahara wangu milioni 2,000,0000/= mda wa mkopo miaka 5 Malipo kwa mwezi 889,777.91/= Faida itakayochukuliwa na benk 13,386,674.44/= Kiasi...
  12. walya

    JamiiForums Tanzania Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Laki tano kila mwezi ukiweka ailipi bila kutoa kwa mwaka mzima
  13. walya

    JamiiForums Tanzania Namanage Account za Forex

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji404] Umetisha kiongozi
Back
Top Bottom